CHADEMA haya ndiyo mataifa mnaomba yaiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi

Wanakumbi.

CHADEMA wakiongozwa na Tundu Lissu, mmeayaona mataifa ambayo mnataka Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi.

Kesi ya Mbowe ipo Mahakamani, manachoweza kufanya kwa sasa ni kuitaka Judiciarytz kusimamia sheria na haki siyo Rais Samia, kusema aachiwe.

Utawala wa Sheria hautaki hivyo.

Bahati mbaya Chadema wasomi wengi wameikimbia sasa hivi chama kipo mikononi mwa wanaharakati.

Hawa ndiyo wamemponza Mbowe, wamemwambia apambane na serikali wapo nyuma yake hamna hata mmoja alifika hata kituo cha polisi kumjulia hali.

Mpumbavu ni nani?

Mpumbavu ni Mtanzania yoyote anayemuamini mtu anajipambanua kama mwanaharakati za Haki za Binadamu na utawala Bora lakini harakati zake zinaelemea upande mmoja wa chama cha siasa. Kupandikiza chuki na kugawa watu matabaka ya uvyama.

Mpumbavu ni Mtanzania yoyote anayemuamini mtu anajipambanua kama mwanaharakati za Haki za Binadamu na utawala Bora lakini harakati zake zinaelemea upande mmoja wa chama cha siasa. Kupandikiza chuki na kugawa watu matabaka ya uvyama

Noted

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanakumbi.

CHADEMA wakiongozwa na Tundu Lissu, mmeayaona mataifa ambayo mnataka Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi.

Kesi ya Mbowe ipo Mahakamani, manachoweza kufanya kwa sasa ni kuitaka Judiciarytz kusimamia sheria na haki siyo Rais Samia, kusema aachiwe.

Utawala wa Sheria hautaki hivyo.

Bahati mbaya Chadema wasomi wengi wameikimbia sasa hivi chama kipo mikononi mwa wanaharakati.

Hawa ndiyo wamemponza Mbowe, wamemwambia apambane na serikali wapo nyuma yake hamna hata mmoja alifika hata kituo cha polisi kumjulia hali.

Mpumbavu ni nani?

Mpumbavu ni Mtanzania yoyote anayemuamini mtu anajipambanua kama mwanaharakati za Haki za Binadamu na utawala Bora lakini harakati zake zinaelemea upande mmoja wa chama cha siasa. Kupandikiza chuki na kugawa watu matabaka ya uvyama.

Kwahiyo utawala wa sheria unataka kubambikia?
 
Mlio mbambikia mnapaswa kufika na kuona mbambikiwa anafuraha au huzuni kiasi gani,ili furaha yenu itimie,vinginevyo mpate majibu kama mnatwanga maji kwenye kinu au mbinu mliyotumia ni uchwara.
Huyo gaidi ndo alifanya kila njia Sabaya akamatwe maana Sabaya anayajua maovu yote ya Mbowe
 
Wanakumbi.

CHADEMA wakiongozwa na Tundu Lissu, mmeayaona mataifa ambayo mnataka Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi.

Kesi ya Mbowe ipo Mahakamani, manachoweza kufanya kwa sasa ni kuitaka Judiciarytz kusimamia sheria na haki siyo Rais Samia, kusema aachiwe.

Utawala wa Sheria hautaki hivyo.

Bahati mbaya Chadema wasomi wengi wameikimbia sasa hivi chama kipo mikononi mwa wanaharakati.

Hawa ndiyo wamemponza Mbowe, wamemwambia apambane na serikali wapo nyuma yake hamna hata mmoja alifika hata kituo cha polisi kumjulia hali.

Mpumbavu ni nani?

Mpumbavu ni Mtanzania yoyote anayemuamini mtu anajipambanua kama mwanaharakati za Haki za Binadamu na utawala Bora lakini harakati zake zinaelemea upande mmoja wa chama cha siasa. Kupandikiza chuki na kugawa watu matabaka ya uvyama.

wataanza kuelewa tu sasa hivi mbowe ndiyo kwaheri siasa zake za uharakati na waliobakihawana msaada wowote zaidi ya kukaa nyuma ya keyboard na kuandika hashtag free mbowe
 
Mbona Nyerere akiwa na Mandela walishinikiza serikali za Rhodesia na Afrika kusini ziwekewe vikwazo??? Au Mandela naye alipotoka??
Hahhahaa sass hivi mataifa yote ya Afrika yapo huru.

Labda nikuulize swali kuna rais gani yupo na Mbowe Afrika?
 
Kwani South Africa haikuwa imepata uhuru kipindi Mandela anaomba vikwazo viwekwe??

Kuhusu Rais gani yupo naye.... Hairuhusuwi publicly ku endorse opposition party ya nchi nyingine ni kuingia sovereignity. But nachofahamu wana vyama marafiki ambazo baadhi zina Marais mfano CDU, ama NPP ya Ghana, recently walikua na ANC ya Kenya etc. So hawapo alone per se.
 
wataanza kuelewa tu sasa hivi mbowe ndiyo kwaheri siasa zake za uharakati na waliobakihawana msaada wowote zaidi ya kukaa nyuma ya keyboard na kuandika hashtag free mbowe
Nyuma ya keyboard? Walioenda ubalozini jana walikua ni wana CCM ama?? Mnajisifia kumkomoa mtu kwa kesi ya ugaidi? Mbowe alifungwa miezi zaidi ya 9 kipindi cha JPM but alitetereka??

Hakuna dikteta kma JPM.... Kama CHADEMA haikufa pale trust me haitowahi kufa milele. SSH ataondoka ma kuiacha mark my words
 
Mpumbavu ni Mtanzania yoyote anayemuamini mtu anajipambanua kama mwanaharakati za Haki za Binadamu na utawala Bora lakini harakati zake zinaelemea upande mmoja wa chama cha siasa. Kupandikiza chuki na kugawa watu matabaka ya uvyama.
Mkuu mbona hata wewe ni sehemu ya wapumbuvu?
Kuegemea upande mmoja ni upumbavu wa hali ya juu.
Hivi kweli unaamini ktk ugaidi wa Mbowe? inasikitisha sana.
Uongo hutumia lift kwenda juu bali ukweli hutumia ngazi, hata hivyo ukweli japo hufika kwa kuchelewa hutamalaki na kuushinda uongo
 
Kwani South Africa haikuwa imepata uhuru kipindi Mandela anaomba vikwazo viwekwe??

Kuhusu Rais gani yupo naye.... Hairuhusuwi publicly ku endorse opposition party ya nchi nyingine ni kuingia sovereignity. But nachofahamu wana vyama marafiki ambazo baadhi zina Marais mfano CDU, ama NPP ya Ghana, recently walikua na ANC ya Kenya etc. So hawapo alone per se.
Ningekuwa mpumbavu kweli ningeweza kumuangukia bi mkubwa wako kweli?
 
Nyuma ya keyboard? Walioenda ubalozini jana walikua ni wana CCM ama?? Mnajisifia kumkomoa mtu kwa kesi ya ugaidi? Mbowe alifungwa miezi zaidi ya 9 kipindi cha JPM but alitetereka??

Hakuna dikteta kma JPM.... Kama CHADEMA haikufa pale trust me haitowahi kufa milele. SSH ataondoka ma kuiacha mark my words
Wewe ndiyo ulikuwa unagaragara barabarani unalia?
 
kaandamane tukuone kama mwana ume na kama hujaenda kuandamana wewe ni demu tu sawa na malaya wa bar
 
Mbowe au CHADEMA kwa ujumla wanashindwa kuangalia nyakati nzuri za kufanya agenda zao.

Mm nilikuwa ni mtukutu sana kwa wazazi wangu katika mambo tofauti na mzee wangu alikuwa ni mtu mwenye EXPOSURE kubwa sn ktk maisha yake aliniambia maneno hadi leo hii yapo kichwani kwangu.

"Son ,Time is what really dictate any agenda , and if you don't know what time it is, you might be doing the right thing in wrong time and not getting the right thing."

Haya maneno hadi leo yamekaa kwenye akili yangu na mara nyingi sn naagalia kitu chochote nacho taka kufanya kwa wakati huo.

Sasa nikija kuangalia kwa Mbowe kuhusu harakati zake anafeli sn kuangalia nyakati

Mfano-
1)Harakati za kudai KATIBA kwa miaka mitano ya JPM hatukuona kuanzisha mikutano NCHI nzima kudai KATIBA.

2)RAIS wa awamu ya SITA hana hata miezi 6 ktk utawala wake na anahitaji so many transformation kwenye administration yake

3)DUNIA kwa sasa inahangaika na JINI CORONA attention yote ipo huko.

4)Uchumi wa wananchi wenyewe upo mahututi.
And so on ......

Lkn haya ni mawazo yangu tu mm binafsi kutokana na mm navyo ona.
 
Kila taasisi ina kazi zake.... maadam ni mikutano ya ndani ambayo inaruhusiwa kikatiba sijaona shida kama kila chama kikiongelea ajenda zake which in turn CHADEMA yao ni katiba mpya na hii ni ajenda ipo kwenye ilani yao ya uchaguzi.

CCM wao wanazunguka nchi nzima kufanya mikutano ya nje ambayo imepigwa marufuku na Rais!! Sasa kwanini hatuoni kwamba CCM inafanya same mistake as CHADEMA?? More so CHADEMA ya nje wametii kutokufanya??

CHADEMA ni chama cha siasa sasa wasipofanya vikao vya ndani na kudai katiba mpya wafanye nini? Waongelee nini kingine?? Tumefikia stage ya kupangiana sera ya vyama?? Kwani waliitisha maandamano kudai katiba mpya?

Nadhani tunakua critical sana kwa CHADEMA..... walichofanya ni kawaida sana sema serikali ime react kwa nguvu kubwa bila sababu.
 
Wewe ndiyo ulikuwa unagaragara barabarani unalia?
Wakienda front mnakejeli wasipoenda oooh keyboard warriors!! you're getting old and irrelevant vita dhidi ya CHADEMA umeanza 2012 but mpaka sasa haijazaa matunda. Kama wassira na JPM walishindwa, aisee utakufa na chuki zako tu ila CHADEMA utaiacha ikiwa imara.
 
Likitokea hilo hizo NGOs zitakuwa zinamilikiwa na akina Mbowe, Msigwa, Lema nk. Zitageuka kuwa ni dili za kupiga pesa, na hizo pesa ili upate itabidi uanze kutafuta connections za watu wataokuwa na influence juu ya hao watoa pesa. TZ shida nyingi mzee, tatizo la TZ ni watu siyo katiba

..hiyo ni afadhali kuliko serikali inayomilikiwa na kina samia, ndugai, mwigulu, kheri james, sirro, etc.

..kuna uchafu wa kupiga pesa, na zaidi wana vyombo vya mabavu kama polisi, usalama, magereza, mahakama, ...

..binafsi I would rather deal na mtu mlarushwa kuliko mtu katili anayeweza kunitia kilema, kuniua, au kunifunga kwa kunionea.

..Katiba mpya ndio dira itakayotuongoza ili tuishi kwa amani, kuheshimiana, na ktk HAKI. Katiba mpya itatuweka salama na kumlinda kila mmoja wetu.
 
Wakienda front mnakejeli wasipoenda oooh keyboard warriors!! you're getting old and irrelevant vita dhidi ya CHADEMA umeanza 2012 but mpaka sasa haijazaa matunda. Kama wassira na JPM walishindwa, aisee utakufa na chuki zako tu ila CHADEMA utaiacha ikiwa imara.
TANGU ndugu Mbowe afunguliwe mashtaka ya UGAIDI hadi leo hatujaona ‘Official Statement’ kutoka Chadema kueleza msimamo wa chama na nini kitafanyika kumnusuru kiongozi wao.
Ila tunaona baadhi ya wanachama wakichangisha michango ili wakaombe TZA iwekewe vikwazo!
 
Back
Top Bottom