Mkuu, umesema vizuri sana hapo. Kama nilivyosema kwenye post yangu hapo juu, Tanzania sasa hivi ni strategically hot spot kwa waamerika na wachina. Sasa hivi wote wako tayari kum-'throw under the bus' mtu yeyote ili interests zao zifanikiwe.
Waamerika wakisikia 'wachina' wanataka kujenga bandari bagamoyo, wanachofikiria ni military base, hilo hawawezi kulikubali hata kidogo!