Chama cha siasa siyo majengo. Ni WATU.Ndugu wanachadema,
Miongoni kwa mipango mikubwa iwe nikujenga ofisi za chama (CHADEMA HQ)
Hapa ni mapendekezo ya mikoa:
1. MOROGORO
2. SINGIDA
3. KIBAHA.
4. DODOMA.
Kipaumbele ni No 1
Litafutwe eneo kubwa nje ya mji.
Maoni yangu,
Maoni yako je
Mmh makao makuu ndio yanachukua nch?[emoji848][emoji2955][emoji2827]Kumbe hata makao makuu hamna, na nchi mnataka kuichukua!???
Hii “justification” ya kutokuwa na ofisi stahiki haina mashiko kabisaOfisi ziko mioyoni kwa watu..
Kwa lugha nyingine, unasema wanaohenyeka na kumenyeka kujenga ofisi wanapoteza rasilimali (fedha, watu, muda, ardhi, nk) bure, siyo!???Mmh makao makuu ndio yanachukua nch?[emoji848][emoji2955][emoji2827]
Hakuna mahali nimesema hivyo hata kwa kiebraniaKwa lugha nyingine, unasema wanaohenyeka na kumenyeka kujenga ofisi wanapoteza rasilimali (fedha, watu, muda, ardhi, nk) bure, siyo!???
Hahaha. Let me try to put it this way: Je unajua umuhimu, manufaa, faida na ufanisi wa kuwa na ofisi mbalimbali za chama pamoja na makao makuu husika!???Hakuna mahali nimesema hivyo hata kwa Kiebrania
Acha utoto huoni nchi inaofisi yake ambayo ni ikulu.kua naadabuKumbe hata makao makuu hamna, na nchi mnataka kuichukua!???
Kwani sasahivi hawana ofisi?Ndugu wanachadema,
Miongoni kwa mipango mikubwa iwe nikujenga ofisi za chama (CHADEMA HQ)
Hapa ni mapendekezo ya mikoa:
1. MOROGORO
2. SINGIDA
3. KIBAHA.
4. DODOMA.
Kipaumbele ni No 1
Litafutwe eneo kubwa nje ya mji.
Maoni yangu,
Maoni yako je
Wewe usiyejua kuandika hata sentensi rahisi kama hii ndiye uache utoto, sawa!???Acha utoto huoni nchi inaofisi yake ambayo ni ikulu.kua naadabu
PolesanaWewe usiyejua kuandika hata sentensi rahisi kama hii ndiye uache utoto, sawa!???
Natambua sana ila argument yangu ni kuhusu makao makuu na sio hizo ofisi za kandaHahaha. Let me try to put it this way: Je unajua umuhimu, manufaa, faida na ufanisi wa kuwa na ofisi mbalimbali za chama pamoja na makao makuu husika!???
Yes ofisi sio hadhi ya CHADEMA but bale hawajapanga. Wamenunua lile jengo toka 2012 na Mnyika alipoingia alinunua majengo ya hapo karibu ili kupanua ofisi.kupanga pale ufipa wamechemshaaa
hakuna mtu mjinga anayeweza kuweka lichadema kwenye moyo wake si litamuua?Ofisi ziko mioyoni kwa watu,pale ufipa ni stand ya mwendokasi
Tutapanga nyumba nyingine
Au maendeleo ya watu siyo vitu. Maajabu !Chama cha siasa siyo majengo. Ni WATU.
Kuna chama kina majengo mpaka viwanja vya michezo lakini kinakosa WATU MAKINI.
Sent from my G80 using JamiiForums mobile app