CHADEMA, haya ni mapendekezo ya wapi mujenge Makao Makuu ya Chama

CHADEMA, haya ni mapendekezo ya wapi mujenge Makao Makuu ya Chama

Ndugu wanachadema,

Miongoni kwa mipango mikubwa iwe nikujenga ofisi za chama (CHADEMA HQ)

Hapa ni mapendekezo ya mikoa:

1. MOROGORO
2. SINGIDA
3. KIBAHA.
4. DODOMA.

Kipaumbele ni No 1
Litafutwe eneo kubwa nje ya mji.

Maoni yangu,

Maoni yako je
Chama cha siasa siyo majengo. Ni WATU.
Kuna chama kina majengo mpaka viwanja vya michezo lakini kinakosa WATU MAKINI.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Mmh makao makuu ndio yanachukua nch?[emoji848][emoji2955][emoji2827]
Kwa lugha nyingine, unasema wanaohenyeka na kumenyeka kujenga ofisi wanapoteza rasilimali (fedha, watu, muda, ardhi, nk) bure, siyo!???
 
Hakuna mahali nimesema hivyo hata kwa Kiebrania
Hahaha. Let me try to put it this way: Je unajua umuhimu, manufaa, faida na ufanisi wa kuwa na ofisi mbalimbali za chama pamoja na makao makuu husika!???
 
Ndugu wanachadema,

Miongoni kwa mipango mikubwa iwe nikujenga ofisi za chama (CHADEMA HQ)

Hapa ni mapendekezo ya mikoa:

1. MOROGORO
2. SINGIDA
3. KIBAHA.
4. DODOMA.

Kipaumbele ni No 1
Litafutwe eneo kubwa nje ya mji.

Maoni yangu,

Maoni yako je
Kwani sasahivi hawana ofisi?
 
Mi napendekeza Kibaha kwa sababu Mimi Ni mkuu wa mkoa wa Kibaha.
 
Hahaha. Let me try to put it this way: Je unajua umuhimu, manufaa, faida na ufanisi wa kuwa na ofisi mbalimbali za chama pamoja na makao makuu husika!???
Natambua sana ila argument yangu ni kuhusu makao makuu na sio hizo ofisi za kanda
 
Back
Top Bottom