Uchaguzi 2020 CHADEMA hivi hitaji kuu la wakazi wa Mbagala ni kurudishwa majina ya Wabunge waliokatwa na Tume?

Uchaguzi 2020 CHADEMA hivi hitaji kuu la wakazi wa Mbagala ni kurudishwa majina ya Wabunge waliokatwa na Tume?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Kampeni mtu unatakiwa ueleze changamoto za mahali husika na utakavyotatua

CHADEMA Mbagala mbunge wao hajakatwa na tume lakini CHADEMA imewaeleza kuwa kipaumbele ni kurudishwa wabunge waliokatwa na Tume.

Je, hilo ndilo hitaji la watu wa Mbagala?
 
1598676268930.png
 
mkutano wa chadema ulivurugwa na tbc,wakasahau ajenda ya uchaguz

hata waliopangwa kuongea hawakuwa na la maana tena sanasana ni kupiga porojo

nachukia siasa za kumshambulia mtu...watoe sera
 
Kampeni mtu unatakiwa ueleze changamoto za mahali husika na utakavyotatua

CHADEMA Mbagala mbunge wao hajakatwa na tume lakini CHADEMA imewaeleza kuwa kipaumbele ni kurudishwa wabunge waliokatwa na tume.

Je hilo ndilo hitaji la watu wa Mbagala?
HILO NDIYO HITAJI LETU KUU KWA SASA
 
Asilimia kubwa wanaounga mkono CCM ni wajinga na masikini!Hii ni kwa mujibu wa tafiti!Sasa wewe unawwza ukawa na akili timamu ila ni mjinga!
Kwa hio wale moliokua nao jana mbagala ndo Wana akili kulio wengine si ndio!. Yaani watu wenye akili badala ya kwenda kuambiwa sera, wanaambiwa mambo ya kukatwa sijui nin! Kam ni hivyo mmefeli sana!.
 
Kampeni mtu unatakiwa ueleze changamoto za mahali husika na utakavyotatua

CHADEMA Mbagala mbunge wao hajakatwa na tume lakini CHADEMA imewaeleza kuwa kipaumbele ni kurudishwa wabunge waliokatwa na tume.

Je hilo ndilo hitaji la watu wa Mbagala?
Swali lako ni la kitoto, unakwenda kwenye uchaguzi ili umchague mwakilishi wako serikalini na kisha Rais wa nchi, uchaguzi hautakuwa na maana kama hautaweza kumchagua mwakilishi mtu atakayekuwakilisha serikalini na huo ndiyo umuhimu wa kwanza wa uchaguzi. Mwisho chama hakikuenda Mbagala kwa ajili ya kumnadi mgombea wao wa ubunge wa Mbagala, kilienda kujinadi urais na ubunge, chama kikishinda urais na kikose wabunge basi kitaunda serikali dhaifu.
 
Kwa hio wale moliokua nao jana mbagala ndo Wana akili kulio wengine si ndio!. Yaani watu wenye akili badala ya kwenda kuambiwa sera, wanaambiwa mambo ya kukatwa sijui nin! Kam ni hivyo mmefeli sana!.
Kwahiyo masikio yako yalisikia hayo tu?Bora hao kuliko hawa wanaoenda kushangaa wasanii!
 
Mnazianzisha thread nyingi halafu zote za kipuuzi. Natoa pendekezo kwa uongozi wa JF muanze kuzi-grade thread zinazoletwa humu, hawa watu wa lumumba wanastahili sifuri kabisa.
 
Kwahiyo masikio yako yalisikia hayo tu?Bora hao kuliko hawa wanaoenda kushangaa wasanii!
Hawaendi kushangaa wasanii , wanaenda kusikiliza sera nzuri za CCM !. Wasanii ni sehemu ya hamasa tu!. Hakuna kampeni bila hamasa , Cdm mmefeli kuanzia kwenye hamasa hadi mikakati ya uchaguzi!.. Kwani ninyi mlishindwa kuwatumia hao wasanii?.
 
Hapo watu wanaenda kuangalia wasanii wakiperform bure!Mimi nilijua flyover na ndege ni hamasa tosha kama katibu mkuu wenu alivyosema uchaguzi huu hamtawatumia wasanii😂😂😂😂!Mambo ni magumu!!!!!!!!
 
Hapo watu wanaenda kuangalia wasanii wakiperform bure!Mimi nilijua flyover na ndege ni hamasa tosha kama katibu mkuu wenu alivyosema uchaguzi huu hamtawatumia wasanii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!Mambo ni magumu!!!!!!!!
Wasanii sio watu ? Hizo ni strategic za CCM, kampeni ni pamoja na burudani!. Hivi kwa akili zenu hata bila wasanii , unafikili CCM hii ya JPM watakua na watu kama mliokua nao ninyi mbagala?. Acheni uzwazwa.!
 
Ndio maana tunaona malori yako yanapakia watu huko mitaani Dodoma kuwapeleka uwanjani😁😁😁😁!
 
Back
Top Bottom