Chadema Ni Kama wamestukiwa huu uchaguzi,hawajajipanga hawakuja na ilaniKampeni mtu unatakiwa ueleze changamoto za mahali husika na utakavyotatua
CHADEMA Mbagala mbunge wao hajakatwa na tume lakini CHADEMA imewaeleza kuwa kipaumbele ni kurudishwa wabunge waliokatwa na tume.
Je hilo ndilo hitaji la watu wa Mbagala?
Nimeambiwa Halima Mdee kajichimbia ndio sasa eti anaandika ilani