Chadema Ni Kama wamestukiwa huu uchaguzi,hawajajipanga hawakuja na ilaniKampeni mtu unatakiwa ueleze changamoto za mahali husika na utakavyotatua
CHADEMA Mbagala mbunge wao hajakatwa na tume lakini CHADEMA imewaeleza kuwa kipaumbele ni kurudishwa wabunge waliokatwa na tume.
Je hilo ndilo hitaji la watu wa Mbagala?
Hii Tabia ya kuwazalilisha binadamu kuwapakia kwenye magari ya mizigo Kama ng'ombe itakoma lini?
Kwa hiyo asilimia ya wale waliokuwa mbagala jana walikuwa matajili?Asilimia kubwa wanaounga mkono CCM ni wajinga na masikini!Hii ni kwa mujibu wa tafiti!Sasa wewe unawwza ukawa na akili timamu ila ni mjinga!
Mimi nimesema asilimia kubwa wanaounga mkono CCM ni masikini na wajinga,na hii ni kwa mujibu wa tafiti!Sasa hayo uliyoandika hapa mimi sijayasema!Kwa hiyo asilimia ya wale waliokuwa mbagala jana walikuwa matajili?
Kama matajili ndonhao wanaosikiliza ujinga wa mtu aliyechanganyikiwa sasa utajili hauna maana.

Miki sijadema hayo,nilichoeleza ni kile tafiti ilichoonesha!Asilimia kubwa wanaounga mkono CCM ni wajinga,masikini na waishio vijijini!Kwa hiyo asilimia ya wale waliokuwa mbagala jana walikuwa matajili?
Kama matajili ndonhao wanaosikiliza ujinga wa mtu aliyechanganyikiwa sasa utajili hauna maana.
Dodoma hali iko hivyo,picha zaidi zitakufikia hivi punde watakapokuwa wanamwaga uwanjani!Leteni hizo picha za malori leo, sio kutuletea picha za monduli!!
Bulls eyeAsilimia kubwa wanaounga mkono CCM ni wajinga na masikini!Hii ni kwa mujibu wa tafiti!Sasa wewe unawwza ukawa na akili timamu ila ni mjinga!
Samahani bro, kila nikiingia mitandaoni huwa nakuta maneno haya, yana maana gani natamani kujuawewe mataga fanya upande lori uwahi kwenye mkutano wenu ukamuone Chuchu sijui Zuchu.
Ndo tunazitak hizo picha za dodoma za leo !, Msituletee zilipendwa !.Dodoma hali iko hivyo,picha zaidi zitakufikia hivi punde watakapokuwa wanamwaga uwanjani!
hao ni misukule.Samahani bro, kila nikiingia mitandaoni huwa nakuta maneno haya, yana maana gani natamani kujua
MATAGA
Watu wa LUMUMBA
Niko hapa,subiri upate maradhi ya moyo!Ndo tunazitak hizo picha za dodoma za leo !, Msituletee zilipendwa !.
Ok ndo nazisubiri sasa!Niko hapa,subiri upate maradhi ya moyo!
Kuwaelewa chadema inahitaji kuwa na upunguvu wa akili, wenye akili timamu tunawapuuza tu.
Huu ni ujinga wako na wana ccm wenzako na wengine wenye akili mbovu za kuona ni sawa yanayoendelea NEC.Kampeni mtu unatakiwa ueleze changamoto za mahali husika na utakavyotatua
CHADEMA Mbagala mbunge wao hajakatwa na tume lakini CHADEMA imewaeleza kuwa kipaumbele ni kurudishwa wabunge waliokatwa na tume.
Je hilo ndilo hitaji la watu wa Mbagala?