herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,143
- 4,724
Mgombea pekee atakaegombea na Maguful ni Membe full stop hiz ni habar za kuaminika kutoka kitengo nimepekua kutoka kwenye makabrashaya ndan kabisa mark my words
Na hapo ndo nchi itakuwa imerudi njia kuu kuelekea kwenye ukombozi unaohitajika kwa sasa.Kumkata Lissu huko NEC ni kuingiza kichwa kwenye mzinga wa nyuki kuangalia kama kuna asali ndani yake?
Kwa hiyo unataka kusema Lissu amevikwa vazi bandia la mgombea urais?Mgombea pekee atakaegombea na Maguful ni Membe full stop hiz ni habar za kuaminika kutoka kitengo nimepekua kutoka kwenye makabrashaya ndan kabisa mark my words
Sijamsikiliza, anasemaje? Nini cha maana alichosema?Wewe na mleta uzi itoshe kuwapa POLE!! Poleni sana. Ni Tundu tu ameweza kuwatetemesha. Matumbo joto! Poleni. Nondo anazoshusha Lissu si za Kawaida. Na bado kampeni rasmi haijaanza! Kazeni roho.
Mkuu kuwa mpole, wakati wa kuelezea sera bado. Subiri kipenga kipulizwe. Mumeshikwa pabaya
Mbona haya ni majina ya kawaida huku kwetu tuu mzee. Nakuongezea majina mengine tunayotumia mapunda, Fisi, Ngonyani, Tembo. Sasa hilo la Fisi Maji ndiyo unalishangaa. Nenda kashangae wenzako msimu wa immigration wanavyoliwa na mambaMabibi na mabwana, na huyu ndio Otter mwenyewe!
View attachment 1539922
Niliwahi kusikia wakisema fisi maji ndio mnyama mjinga (mpumbavu) kuliko wote. Eti ni kweli?Mbona haya ni majina ya kawaida huku kwetu tuu mzee. Nakuongezea majina mengine tunayotumia mapunda, Fisi, Ngonyani, Tembo. Sasa hilo la Fisi Maji ndiyo unalishangaa. Nenda kashangae wenzako msimu wa immigration wanavyoliwa na mamba
Aaaah wapiMgombea pekee atakaegombea na Maguful ni Membe full stop hiz ni habar za kuaminika kutoka kitengo nimepekua kutoka kwenye makabrashaya ndan kabisa mark my words
Siyo kweli mzee. Ni mnyama mstaarabu anaishi kwenye familia ndogo ndogo isipokuwa wavuvi wanampenda sana kumfanya kitoweo kwa kuwa nyama yake ni tamu na inaradha kama ya samakiNiliwahi kusikia wakisema fisi maji ndio mnyama mjinga (mpumbavu) kuliko wote. Eti ni kweli?
Vipi kuhusu Hashimu Rungwe. Yule mwanasheria na wakili mbobeziMgombea pekee atakaegombea na Maguful ni Membe full stop hiz ni habar za kuaminika kutoka kitengo nimepekua kutoka kwenye makabrashaya ndan kabisa mark my words
Aisee!Siyo kweli mzee. Ni mnyama mstaarabu anaishi kwenye familia ndogo ndogo isipokuwa wavuvi wanampenda sana kumfanya kitoweo kwa kuwa nyama yake ni tamu na inaradha kama ya samaki