Uchaguzi 2020 CHADEMA hofu yatanda: Wajuta kumpendekeza Lissu kuwa mgombea Urais, Nyalandu ana ukwasi na sifa za kupeperusha bendera yao

Uchaguzi 2020 CHADEMA hofu yatanda: Wajuta kumpendekeza Lissu kuwa mgombea Urais, Nyalandu ana ukwasi na sifa za kupeperusha bendera yao

Wrong! Wataachwa na wengine kina lipumba, ADC n.k
Mgombea pekee atakaegombea na Maguful ni Membe full stop hiz ni habar za kuaminika kutoka kitengo nimepekua kutoka kwenye makabrashaya ndan kabisa mark my words
 
Kumkata Lissu huko NEC ni kuingiza kichwa kwenye mzinga wa nyuki kuangalia kama kuna asali ndani yake?
Na hapo ndo nchi itakuwa imerudi njia kuu kuelekea kwenye ukombozi unaohitajika kwa sasa.
Hii nchi haitobadilika hadi watu wapigania kule wanakotaka kwenda.
Kwa sasa watu wamezidi kusinzia as if all is well.
 
Haa haa just haa haa.
MaCCM Mmekwama,. Na bado kampeni hazijaanza. Muda ni mwalimu mzuri sana. Tuliwambia matendo ya Jusus wenu wa Lumumba sio afya kwa ustawi wa Taifa.
Anacho ongea LISSU ni Ukweli MCHUNGU mvumilie.

#LISSURAIS2020
 
Mgombea pekee atakaegombea na Maguful ni Membe full stop hiz ni habar za kuaminika kutoka kitengo nimepekua kutoka kwenye makabrashaya ndan kabisa mark my words
Kwa hiyo unataka kusema Lissu amevikwa vazi bandia la mgombea urais?

Lakini alichaguliwa na wajumbe wengi,sidhani kama hilo litawezekana.

Labda plan B ikiwa Maamuzi ya NEC yatakuwa kinyume.

Kwa mtizamo wangu CCM hawatamwandama Lissu ili akatwe,Lissu atapeta kwa Jaji Kaijage.

Kitu muhimu ni huyo Lissu kujipanga second round ya kuwashawishi na kuwapata wapiga kura ili wampe hizo kura kwake na kwa chama chake.

Team Lissu itabidi ijipange vizuri kwa mchezo mgumu ni mchezo wa mwendo kasi.
 
Wewe na mleta uzi itoshe kuwapa POLE!! Poleni sana. Ni Tundu tu ameweza kuwatetemesha. Matumbo joto! Poleni. Nondo anazoshusha Lissu si za Kawaida. Na bado kampeni rasmi haijaanza! Kazeni roho.
Sijamsikiliza, anasemaje? Nini cha maana alichosema?
 
Mkuu kuwa mpole, wakati wa kuelezea sera bado. Subiri kipenga kipulizwe. Mumeshikwa pabaya

Hata ukifika wakati huo bado mtaweweseka na mtakuja na threads nyingi tuu za kuogopa kivuli cha Lissu.
 
Mabibi na mabwana, na huyu ndio Otter mwenyewe!
View attachment 1539922
Mbona haya ni majina ya kawaida huku kwetu tuu mzee. Nakuongezea majina mengine tunayotumia mapunda, Fisi, Ngonyani, Tembo. Sasa hilo la Fisi Maji ndiyo unalishangaa. Nenda kashangae wenzako msimu wa immigration wanavyoliwa na mamba
 
Niliwahi kusikia wakisema fisi maji ndio mnyama mjinga (mpumbavu) kuliko wote. Eti ni kweli?
 
Tungependa,tunapenda na ingependeza.

Lakini ukweli ni kuwa Lissu yupo na anatupa taabu, tujiaandaye vizuri kwenye campaign. Nadhani tutakuwa vizuri na nina imani tutashinda , lakini tusitegemee ushindi wa mabavu, kumkata Lissu itatuharibia sifa
 
Niliwahi kusikia wakisema fisi maji ndio mnyama mjinga (mpumbavu) kuliko wote. Eti ni kweli?
Siyo kweli mzee. Ni mnyama mstaarabu anaishi kwenye familia ndogo ndogo isipokuwa wavuvi wanampenda sana kumfanya kitoweo kwa kuwa nyama yake ni tamu na inaradha kama ya samaki
 
Tundu Lissu is a bad investment, hakuna mwenye akili atayewekeza pesa hapo, chama kimempa hiyo nafasi kutoa lawama tuu.
 
Mgombea pekee atakaegombea na Maguful ni Membe full stop hiz ni habar za kuaminika kutoka kitengo nimepekua kutoka kwenye makabrashaya ndan kabisa mark my words
Vipi kuhusu Hashimu Rungwe. Yule mwanasheria na wakili mbobezi
 
Mbowe ni mwanasiasa mjanja sana. Lissu ni maarufu kuliko Nyalandu. Hapo vinatafutwa viti vingi vya ubunge ili ruzuku iongezeke.
 
Siyo kweli mzee. Ni mnyama mstaarabu anaishi kwenye familia ndogo ndogo isipokuwa wavuvi wanampenda sana kumfanya kitoweo kwa kuwa nyama yake ni tamu na inaradha kama ya samaki
Aisee!
 
kwa nini usiende kwa nyalandu, labda akakuoe huo ukwasi wake uwe wa familia yenu labda
 
Nachujua membe amakwenda kumsaidia Maalim Seif ili amdhoofishe kabisa kuhusu uraisi
 
Back
Top Bottom