kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Kama NyaLandu anafaa kuwa Rais wa JMT kwnn msimshauri magufuri akampusha nyarandu ndani ya ccm ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa Kila kukicha Lisu Lisu Lisu Kati mnajua kabisa Hana madhara, kwanini msimseme Membe ambaye ndo mpinzan wa MekoMgombea pekee atakaegombea na Maguful ni Membe full stop hiz ni habar za kuaminika kutoka kitengo nimepekua kutoka kwenye makabrashaya ndan kabisa mark my words
Walijua tu kwamba hakuna haja ya kuwa na mgombea wa maana. Wanajua hakuna nafasi ya kushimnda. Nafasi hiyo ingekuwepo unadhani Mbowe angemwachia Lissu? Si uliona nafasi ya M/kiti?
Jamaa umewaza vizuri sana. Kuna haja ya watu kujitathmini humu kama wanafaa kuendelea kuwepo au waende fb.Nahisi imefika muda sasa mods muanze kuondoa watu humu jamii forum ili neno THE HOME OF GREAT THINKERS liendelee kubaki na thamani ..hivi mtu km aliyepost huu uchafu na yy ni member...sasa hapo unasoma ili upate mawazo gani ...kwa sbb yote aliyoandika ukiwa na kichwa kisafi hakuna hata moja lenye uhalisia..propaganda km za kunadi kiranja mkuu wa shule