Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi.
Chadema sasa kama wapinzani wanaona CCM ya sasa haina makosa maana hatusikii wakikosoa na hii ni jibu kuwa wanaridhika namna CCM inavyotekeleza ilani yake.
Wamebaki kukomalia habari na dosari zilizotokea wakati hayati JPM yupo madarakani huku wakikomaaa kana kwamba zitawasaidia maana ni ishu za huko nyuma kabisa kwa sasa haziwezi kuwabeba.
Mf uwanja wa ndege Chato unawauma sana kana kwamba sio mali ya umma.