CHADEMA hoi bin taaban, wamekosa hoja ya kuikosoa CCM hawajulikani wapo upande gani kama ni wapinzani au sio wapinzani

2025 viti vya udiwan na ubunge ndo vitatoa jibu kamili chadema ipo au imekufa ?
 
Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi.

Chadema sasa kama wapinzani wanaona CCM ya sasa haina makosa maana hatusikii wakikosoa na hii ni jibu kuwa wanaridhika namna CCM inavyotekeleza ilani yake.

Wamebaki kukomalia habari na dosari zilizotokea wakati hayati JPM yupo madarakani huku wakikomaaa kana kwamba zitawasaidia maana ni ishu za huko nyuma kabisa kwa sasa haziwezi kuwabeba.

Mf uwanja wa ndege Chato unawauma sana kana kwamba sio mali ya umma.
Wapuuzi nyie na chato yenu mnashiriki mauaji aliyofanya kwa hoja zenu mbovu.
 
Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi.

Chadema sasa kama wapinzani wanaona CCM ya sasa haina makosa maana hatusikii wakikosoa na hii ni jibu kuwa wanaridhika namna CCM inavyotekeleza ilani yake.

Wamebaki kukomalia habari na dosari zilizotokea wakati hayati JPM yupo madarakani huku wakikomaaa kana kwamba zitawasaidia maana ni ishu za huko nyuma kabisa kwa sasa haziwezi kuwabeba.

Mf uwanja wa ndege Chato unawauma sana kana kwamba sio mali ya umma.
Sasa si nyie ACT mkosoe kwani lazima CHADEMA pekee?
 
Akili zako zipo matakoni
 
Back
Top Bottom