kwa hiyo wewe siasa ni kukosoa tu!!! MAAYU WANE!!!Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi...
Kwa sasa siasa za Upinzani hazivutii hata kidogo,kumepwaya mnoo!!Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananch...
Wewe huamini mama yako anafanya vizuri sana hadi unahimiza watu wamkosoe?Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi...
Hamia burundi kama unakerekaš¤£š¤£Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi.
Chadema sasa kama wapinzani wanaona CCM ya sasa haina makosa maana hatusikii wakikosoa na hii ni jibu kuwa wanaridhika namna CCM inavyotekeleza ilani yake.
Wamebaki kukomalia habari na dosari zilizotokea wakati hayati JPM yupo madarakani huku wakikomaaa kana kwamba zitawasaidia maana ni ishu za huko nyuma kabisa kwa sasa haziwezi kuwabeba.
Mf uwanja wa ndege Chato unawauma sana kana kwamba sio mali ya umma.