CHADEMA hongereni kwa kukusanya mil 250 kwenye matembezi ya join ze chain

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Kama kwa siku moja tu huko kunduchi mmekusanya mil 250 basi nawapa pongezi kubwa sana.

Mkikomaa namna hii mtapata zaidi ya bil 8 kwa mwezi.

Siasa sio uadui hongereni sana.
 
Utaikubali cdm hata kwa unafiki
 
Back
Top Bottom