CHADEMA huenda ikaichukua karne nzima kufikia ushawishi huu wa CCM

ABC ZA 2025

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2018
Posts
1,385
Reaction score
872

Mtanzania,Unaweza kujionea mwenyewe vibe hili la wananchi jijini Dodoma wakiongozwa na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka,katika kuwakaribisha wajumbe zaidi ya 1,800 Kwenye mkutano mkuu maalumu,

Hongera CCM , kila lenye heri kwenye mkutano mkuu huu maalumu,
 
View attachment 2171164

Haya nenda kanawe miguu ulale
 
Kama mna ushawishi mkubwa kiasi hicho, kwanini mnaiba kura na kuvuluga chaguzi kila mala?
 
View attachment 2171164

Mtanzania,Unaweza kujionea mwenyewe vibe hili la wananchi jijini Dodoma wakiongozwa na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka,katika kuwakaribisha wajumbe zaidi ya 1,800 Kwenye mkutano mkuu maalumu,

Hongera CCM , kila lenye heri kwenye mkutano mkuu huu maalumu,
Kwani hata mimi nikiwekewa mafuta lita 5 pamoja na elfu 10 na kazi yangu ni bodaboda nitaacha kuwapokea? tafuta hapo kama kuna mtu ana kazi yake ya maana ameenda kujiunga kwenye huo ujinga
 
watanzania wengi wana hali duni za maisha na hawana kazi wanazurulazurula tu mitaani, ukiwataka na kuwakusanya kama hivyo unawapata kirahisi sana....Hata wewe mtoa maada ukiwahitaji na kuwapa mgao wa 1000 wawe wanazurula na wewe mjini wakiimba utawapata na kufunga mji kabisa...

Hili ni jambo la kusikitikia ukiona watanzania wenzio wanazurula barabarani na kupiga mayowe kushabikia wanasiasa, hii ni dalili mbaya inayoonyesha tatizo kubwa la ajira..
 
Ajira zipi unazozungumzia?
 
Back
Top Bottom