ABC ZA 2025
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 1,385
- 872
Haya nenda kanawe miguu ulaleView attachment 2171164
Mtanzania,Unaweza kujionea mwenyewe vibe hili la wananchi jijini Dodoma wakiongozwa na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka,katika kuwakaribisha wajumbe zaidi ya 1,800 Kwenye mkutano mkuu maalumu,
Hongera CCM , kila lenye heri kwenye mkutano mkuu huu maalumu,
umeona huo umati aise,Siku ccm waruhusu tupige kura za haki ata kujaribu tu kupim upepo. Iwe manual na digitalise watakupa majibu
daaahHaya nenda kanawe miguu ulale
umeona huo umati aise,
DaahWamefika laki moja?
Je waweza kujibu haya maswali kiufasaha?Mtanzania,Unaweza kujionea mwenyewe vibe hili la wananchi jijini Dodoma wakiongozwa na Katibu
View attachment 2171164
Mtanzania,Unaweza kujionea mwenyewe vibe hili la wananchi jijini Dodoma wakiongozwa na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka,katika kuwakaribisha wajumbe zaidi ya 1,800 Kwenye mkutano mkuu maalumu,
Hongera CCM , kila lenye heri kwenye mkutano mkuu huu maalumu,
Kama mna ushawishi mkubwa kiasi hicho, kwanini mnaiba kura na kuvuluga chaguzi kila mala?View attachment 2171164
Mtanzania,Unaweza kujionea mwenyewe vibe hili la wananchi jijini Dodoma wakiongozwa na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka,katika kuwakaribisha wajumbe zaidi ya 1,800 Kwenye mkutano mkuu maalumu,
Hongera CCM , kila lenye heri kwenye mkutano mkuu huu maalumu,
Kwani hata mimi nikiwekewa mafuta lita 5 pamoja na elfu 10 na kazi yangu ni bodaboda nitaacha kuwapokea? tafuta hapo kama kuna mtu ana kazi yake ya maana ameenda kujiunga kwenye huo ujingaView attachment 2171164
Mtanzania,Unaweza kujionea mwenyewe vibe hili la wananchi jijini Dodoma wakiongozwa na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka,katika kuwakaribisha wajumbe zaidi ya 1,800 Kwenye mkutano mkuu maalumu,
Hongera CCM , kila lenye heri kwenye mkutano mkuu huu maalumu,
Weka picha /Video tuoneJuzi Mbowe tu hapa KIA ilikuwa ni hatari na nusu
Weka picha /Video tuone
Ajira zipi unazozungumzia?watanzania wengi wana hali duni za maisha na hawana kazi wanazurulazurula tu mitaani, ukiwataka na kuwakusanya kama hivyo unawapata kirahisi sana....Hata wewe mtoa maada ukiwahitaji na kuwapa mgao wa 1000 wawe wanazurula na wewe mjini wakiimba utawapata na kufunga mji kabisa...
Hili ni jambo la kusikitikia ukiona watanzania wenzio wanazurula barabarani na kupiga mayowe kushabikia wanasiasa, hii ni dalili mbaya inayoonyesha tatizo kubwa la ajira..