Chadema huenda wakapoteza umiliki wa majengo yake,kama ilivyokua CUF

Chadema huenda wakapoteza umiliki wa majengo yake,kama ilivyokua CUF

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,913
Reaction score
4,695
Kwa kesi ya zuio la kesi ya usawa Mali huenda CHADEMA ikapoteza umiliki wa majengo yake kama ilivyokua CUF ya Maalim Seif,nahuenda CHAUMMA wakaja kuyachukua nakuyatumia nambowe akaingia mzima CHAUMMA
 
CHADEMA SIYO CUF

Kaa Kwa kutulia uone moto huko mahakamani, Kule Zanzibar CUF hawakuambilia kitu majengo yote yalibadilishwa na kua nembo ya ACT
Mtakaa mahakamani Hadi uchaguzi unaisha mko katika zuio,natim mbowe watachukua umiliki kupitia act
 
Yaliyokuwa majengo ya CUF yaliendelea kubaki hivyo.

Kuna ofisi nyengine zilikuwa kwenye majengo ya wanachama. Haya yalipachikwa bendera za ACT.
 
Lipumba alipigwa na kitu kizito cha kichwa Na marehemu Maalim Seif, Kuwa Profesa si kuwa na akili nyingi.
 
Kwa kesi ya zuio la kesi ya usawa Mali huenda CHADEMA ikapoteza umiliki wa majengo yake kama ilivyokua CUF ya Maalim Seif,nahuenda CHAUMMA wakaja kuyachukua nakuyatumia nambowe akaingia mzima CHAUMMA

Wangekifunga kabisa chama haya mengine mboni ni kama wanajichelewesha tu walicho nacho mawazoni?
 
Its far better, chadema sio majengo, chadema sio viongozi, chadema ni imani na misingi yake iko mioyoni mwa watu.

Wachukue tu.
 
Yaliyokuwa majengo ya CUF yaliendelea kubaki hivyo.

Kuna ofisi nyengine zilikuwa kwenye majengo ya wanachama. Haya yalipachikwa bendera za ACT.

majengo mengi ya CUF hayakuwa yamesajiliwa kwa jina la chama, yalisajiliwa kwa majina ya watu ambao walikuwa loyal kwa maalim seif na chama kikawa kama kimepewa kiyatumie, Lipumba akaishia kupata majengo machache amabayo yalijengwa kwa fedha za chama, mengi yaliyojengwa kwa fedha za wadhamini na michango aliambulia bilabila.
 
Back
Top Bottom