malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Mtakaa mahakamani Hadi uchaguzi unaisha mko katika zuio,natim mbowe watachukua umiliki kupitia actCHADEMA SIYO CUF
Kaa Kwa kutulia uone moto huko mahakamani, Kule Zanzibar CUF hawakuambilia kitu majengo yote yalibadilishwa na kua nembo ya ACT
Then?Mtakaa mahakamani Hadi uchaguzi unaisha mko katika zuio,natim mbowe watachukua umiliki kupitia act
Then chadema ikapotezwa kama ilivyopotezwa cufThen?
Ila ccm ni waovu sanaCHADEMA SIYO CUF
Kaa Kwa kutulia uone moto huko mahakamani, Kule Zanzibar CUF hawakuambilia kitu majengo yote yalibadilishwa na kua nembo ya ACT
Kwa kesi ya zuio la kesi ya usawa Mali huenda CHADEMA ikapoteza umiliki wa majengo yake kama ilivyokua CUF ya Maalim Seif,nahuenda CHAUMMA wakaja kuyachukua nakuyatumia nambowe akaingia mzima CHAUMMA
Yaliyokuwa majengo ya CUF yaliendelea kubaki hivyo.
Kuna ofisi nyengine zilikuwa kwenye majengo ya wanachama. Haya yalipachikwa bendera za ACT.