CHADEMA: Hukumu ya kuwafunga viongozi wetu itazima amani ya nchi

Hawa watu uelewa wao ni mdogo.Wanatisha mahakama isifanye kazi yao?

Kwamba wahalifu hao kama watatiwa hatiani amani ya nchi itatoweka?

What a nonsense?
---
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani kimewataka wanachama wa chama hicho kikuu cha upinzani Tanzania kuanzia leo Jumamosi Machi 7, 2020 kuvaa nguo nyeupe au kufunga kitambaa cheupe kama ishara ya kutaka haki itendeke katika hukumu ya viongozi wa chama hicho Machi 10, 2020.

Akizungumza na waandishi wa habari leo katibu wa kanda hiyo, Hemed Ali ametoa wito kwa wanachama wote kufanya hivyo kwa kuwa haki ni ya kila mtu.

Viongozi wanane wa Chadema pamoja na katibu mkuu wa zamani wa chama hicho, Dk Vicent Mashinji wanakabiliwa na mashtaka 13 yakiwemo ya kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria na kusababisha woga na hofu kwa wakazi wa Kinondoni na kifo cha Akwelina Akwilini.

Jana viongozi wakuu na wabunge wa Chadema walifunga kazi baada ya kuwasilisha hoja zao za majumuisho katika kesi ya jinai inayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wameiachia mahakama kufanya kazi yake.

Viongozi hao ni mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe; katibu mkuu wa chama hicho, John Mnyika.

Wengine ni naibu katibu mkuu (Zanzibar), Salum Mwalimu; mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa; Esther Matiko ambaye ni mweka hazina wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) na mbunge wa Tarime Mjini; Halima Mdee (mbunge wa Kawe); Ester Bulaya (Bunda); John Heche (Tarime Vijijini).

"Mavazi hayo meupe yatakuwa yakiashiria kupinga uonevu, watu tujitokeze kwa wingi siku ya hukumu pale mahakamani. Watakaoshindwa kukusanyika katika ofisi za Chadema basi wafanye midahalo ya haki siku hiyo.”

"Kuna wanawake zaidi ya 5,000 wanatoka mikoani wanakuja Dar es Salaam kwa ajili ya siku ya wanawake kesho, tumeongea na Baraza la wanawake Chadema wanawake hao wabaki hadi Machi 10 ili tuungane nao mahakamani," amesema Hemed.

Amesema siku hiyo ni siku ya kuonyesha amani na mshikamano miongoni mwa Watanzania ili kupigania amani ya nchi aliyodai kuwa inapatikana ikiwa kuna haki.

"Hatupendi amani ya nchi hii iharibike lakini vilevile hatupo tayari kuona viongozi wa chama chetu wanaonewa, kesi yao hii ni kesi ya kisiasa," amesema.

Amedai kuwa hukumu yoyote ya kuwatia hatiani viongozi hao itazima amani ya nchini.

Chanzo: Mwananchi
Meko Joga kama nini
Awafunge aone moto wake

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Sasa watu 500 Tena wametoka mkoan Kwan Hawa waliopo dar hawatosh au ndio kutaka waonekane wao ni weng tanzania kwenye vyombo vya habar vya mabeberu alafu uyo anae ongea ivyo anatakiwa ajue likitokea tatizo yeye ndie atahusika moja kwa moja sababu yeye ndie alie andaa na ndio atajua kwann kina mbowe wanakes ya akwelina serekal iwe nao Makin Hawa watu wamesha ona kwenye uchaguz hawafui dafu wanataka vurugu et wafunge vitambaa vyeupe kichwan napenda kuishaur serekal kwamba wakiandamana Waache tu waandamane nyie toen ukum kama kaiwada muwasubir kwenye maandamano yao watafanya nn ila mue Makin na camera mue mnarikod matukio mana hawachelewi kuanzisha vurugu IL tu mtumie nguvu ionekane mnawapiga raia mnacho takiwa wachukuen tu video kelele zao zote ili ziwe kama ushaid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hapa wanatoa warning kwamba wasionewe

Kesi nzima ni ya kuonewa

Muue watu nyie mfunge wengine?

Hapa ni kwamba CDM ina nguvu ya umma/wafuasi wao,hivyo hukumu itoke kwa haki na sio mnawaonea!

Kesi nzima ni uonevu mtupu mbuzo nyie

Magogoni akipiga simu watu wanafungwa,hii ni kutaadharisha msionee watu
 
Hawa watu uelewa wao ni mdogo.Wanatisha mahakama isifanye kazi yao?

Kwamba wahalifu hao kama watatiwa hatiani amani ya nchi itatoweka?

What a nonsense?
---
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani kimewataka wanachama wa chama hicho kikuu cha upinzani Tanzania kuanzia leo Jumamosi Machi 7, 2020 kuvaa nguo nyeupe au kufunga kitambaa cheupe kama ishara ya kutaka haki itendeke katika hukumu ya viongozi wa chama hicho Machi 10, 2020.

Akizungumza na waandishi wa habari leo katibu wa kanda hiyo, Hemed Ali ametoa wito kwa wanachama wote kufanya hivyo kwa kuwa haki ni ya kila mtu.

Viongozi wanane wa Chadema pamoja na katibu mkuu wa zamani wa chama hicho, Dk Vicent Mashinji wanakabiliwa na mashtaka 13 yakiwemo ya kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria na kusababisha woga na hofu kwa wakazi wa Kinondoni na kifo cha Akwelina Akwilini.

Jana viongozi wakuu na wabunge wa Chadema walifunga kazi baada ya kuwasilisha hoja zao za majumuisho katika kesi ya jinai inayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wameiachia mahakama kufanya kazi yake.

Viongozi hao ni mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe; katibu mkuu wa chama hicho, John Mnyika.

Wengine ni naibu katibu mkuu (Zanzibar), Salum Mwalimu; mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa; Esther Matiko ambaye ni mweka hazina wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) na mbunge wa Tarime Mjini; Halima Mdee (mbunge wa Kawe); Ester Bulaya (Bunda); John Heche (Tarime Vijijini).

"Mavazi hayo meupe yatakuwa yakiashiria kupinga uonevu, watu tujitokeze kwa wingi siku ya hukumu pale mahakamani. Watakaoshindwa kukusanyika katika ofisi za Chadema basi wafanye midahalo ya haki siku hiyo.”

"Kuna wanawake zaidi ya 5,000 wanatoka mikoani wanakuja Dar es Salaam kwa ajili ya siku ya wanawake kesho, tumeongea na Baraza la wanawake Chadema wanawake hao wabaki hadi Machi 10 ili tuungane nao mahakamani," amesema Hemed.

Amesema siku hiyo ni siku ya kuonyesha amani na mshikamano miongoni mwa Watanzania ili kupigania amani ya nchi aliyodai kuwa inapatikana ikiwa kuna haki.

"Hatupendi amani ya nchi hii iharibike lakini vilevile hatupo tayari kuona viongozi wa chama chetu wanaonewa, kesi yao hii ni kesi ya kisiasa," amesema.

Amedai kuwa hukumu yoyote ya kuwatia hatiani viongozi hao itazima amani ya nchini.

Chanzo: Mwananchi
Bora aiseeeeee lianzisheni tuuu

Kumbe risasi ilifyatuliwa na viongozi wa CDM? Wahusika hawajulikani?
 
Hata wakifungwa hakuna mtanzania atakaye jitokeza kuwatete waharifu. Si mlijifanya kumtetea Kabendera, mmeishia wapi??? Yaani kutoka kupinga uharifu mpaka kuwa waunga mkono uharifu na ufisadi.
Ni aheri ungekuwa tu unasoma maoni ya watu wenye akili. Ungejifunza kitu.
 
Sasa watu 500 Tena wametoka mkoan Kwan Hawa waliopo dar hawatosh au ndio kutaka waonekane wao ni weng tanzania kwenye vyombo vya habar vya mabeberu alafu uyo anae ongea ivyo anatakiwa ajue likitokea tatizo yeye ndie atahusika moja kwa moja sababu yeye ndie alie andaa na ndio atajua kwann kina mbowe wanakes ya akwelina serekal iwe nao Makin Hawa watu wamesha ona kwenye uchaguz hawafui dafu wanataka vurugu et wafunge vitambaa vyeupe kichwan napenda kuishaur serekal kwamba wakiandamana Waache tu waandamane nyie toen ukum kama kaiwada muwasubir kwenye maandamano yao watafanya nn ila mue Makin na camera mue mnarikod matukio mana hawachelewi kuanzisha vurugu IL tu mtumie nguvu ionekane mnawapiga raia mnacho takiwa wachukuen tu video kelele zao zote ili ziwe kama ushaid

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeishia darasa la ngapi? Ni afadhali ungemtafuta mtu angalao akawa anakufundisha kusoma, kuandika na kuhesabu. Hapa uwe unasoma tu. Sidhani kama umefikia uwezo wa kuchangia
 
Vyote sijui ila najua ipi serekal nzur yupi mchumia tumbo na yupi mzalendo pia najua kuesabu hela tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom