Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,034
Meko Joga kama niniHawa watu uelewa wao ni mdogo.Wanatisha mahakama isifanye kazi yao?
Kwamba wahalifu hao kama watatiwa hatiani amani ya nchi itatoweka?
What a nonsense?
---
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani kimewataka wanachama wa chama hicho kikuu cha upinzani Tanzania kuanzia leo Jumamosi Machi 7, 2020 kuvaa nguo nyeupe au kufunga kitambaa cheupe kama ishara ya kutaka haki itendeke katika hukumu ya viongozi wa chama hicho Machi 10, 2020.
Akizungumza na waandishi wa habari leo katibu wa kanda hiyo, Hemed Ali ametoa wito kwa wanachama wote kufanya hivyo kwa kuwa haki ni ya kila mtu.
Viongozi wanane wa Chadema pamoja na katibu mkuu wa zamani wa chama hicho, Dk Vicent Mashinji wanakabiliwa na mashtaka 13 yakiwemo ya kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria na kusababisha woga na hofu kwa wakazi wa Kinondoni na kifo cha Akwelina Akwilini.
Jana viongozi wakuu na wabunge wa Chadema walifunga kazi baada ya kuwasilisha hoja zao za majumuisho katika kesi ya jinai inayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wameiachia mahakama kufanya kazi yake.
Viongozi hao ni mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe; katibu mkuu wa chama hicho, John Mnyika.
Wengine ni naibu katibu mkuu (Zanzibar), Salum Mwalimu; mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa; Esther Matiko ambaye ni mweka hazina wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) na mbunge wa Tarime Mjini; Halima Mdee (mbunge wa Kawe); Ester Bulaya (Bunda); John Heche (Tarime Vijijini).
"Mavazi hayo meupe yatakuwa yakiashiria kupinga uonevu, watu tujitokeze kwa wingi siku ya hukumu pale mahakamani. Watakaoshindwa kukusanyika katika ofisi za Chadema basi wafanye midahalo ya haki siku hiyo.”
"Kuna wanawake zaidi ya 5,000 wanatoka mikoani wanakuja Dar es Salaam kwa ajili ya siku ya wanawake kesho, tumeongea na Baraza la wanawake Chadema wanawake hao wabaki hadi Machi 10 ili tuungane nao mahakamani," amesema Hemed.
Amesema siku hiyo ni siku ya kuonyesha amani na mshikamano miongoni mwa Watanzania ili kupigania amani ya nchi aliyodai kuwa inapatikana ikiwa kuna haki.
"Hatupendi amani ya nchi hii iharibike lakini vilevile hatupo tayari kuona viongozi wa chama chetu wanaonewa, kesi yao hii ni kesi ya kisiasa," amesema.
Amedai kuwa hukumu yoyote ya kuwatia hatiani viongozi hao itazima amani ya nchini.
Chanzo: Mwananchi
Sasa watu 500 Tena wametoka mkoan Kwan Hawa waliopo dar hawatosh au ndio kutaka waonekane wao ni weng tanzania kwenye vyombo vya habar vya mabeberu alafu uyo anae ongea ivyo anatakiwa ajue likitokea tatizo yeye ndie atahusika moja kwa moja sababu yeye ndie alie andaa na ndio atajua kwann kina mbowe wanakes ya akwelina serekal iwe nao Makin Hawa watu wamesha ona kwenye uchaguz hawafui dafu wanataka vurugu et wafunge vitambaa vyeupe kichwan napenda kuishaur serekal kwamba wakiandamana Waache tu waandamane nyie toen ukum kama kaiwada muwasubir kwenye maandamano yao watafanya nn ila mue Makin na camera mue mnarikod matukio mana hawachelewi kuanzisha vurugu IL tu mtumie nguvu ionekane mnawapiga raia mnacho takiwa wachukuen tu video kelele zao zote ili ziwe kama ushaidHawa watu uelewa wao ni mdogo.Wanatisha mahakama isifanye kazi yao?
Kwamba wahalifu hao kama watatiwa hatiani amani ya nchi itatoweka?
What a nonsense?
---
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani kimewataka wanachama wa chama hicho kikuu cha upinzani Tanzania kuanzia leo Jumamosi Machi 7, 2020 kuvaa nguo nyeupe au kufunga kitambaa cheupe kama ishara ya kutaka haki itendeke katika hukumu ya viongozi wa chama hicho Machi 10, 2020.
Akizungumza na waandishi wa habari leo katibu wa kanda hiyo, Hemed Ali ametoa wito kwa wanachama wote kufanya hivyo kwa kuwa haki ni ya kila mtu.
Viongozi wanane wa Chadema pamoja na katibu mkuu wa zamani wa chama hicho, Dk Vicent Mashinji wanakabiliwa na mashtaka 13 yakiwemo ya kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria na kusababisha woga na hofu kwa wakazi wa Kinondoni na kifo cha Akwelina Akwilini.
Jana viongozi wakuu na wabunge wa Chadema walifunga kazi baada ya kuwasilisha hoja zao za majumuisho katika kesi ya jinai inayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wameiachia mahakama kufanya kazi yake.
Viongozi hao ni mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe; katibu mkuu wa chama hicho, John Mnyika.
Wengine ni naibu katibu mkuu (Zanzibar), Salum Mwalimu; mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa; Esther Matiko ambaye ni mweka hazina wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) na mbunge wa Tarime Mjini; Halima Mdee (mbunge wa Kawe); Ester Bulaya (Bunda); John Heche (Tarime Vijijini).
"Mavazi hayo meupe yatakuwa yakiashiria kupinga uonevu, watu tujitokeze kwa wingi siku ya hukumu pale mahakamani. Watakaoshindwa kukusanyika katika ofisi za Chadema basi wafanye midahalo ya haki siku hiyo.”
"Kuna wanawake zaidi ya 5,000 wanatoka mikoani wanakuja Dar es Salaam kwa ajili ya siku ya wanawake kesho, tumeongea na Baraza la wanawake Chadema wanawake hao wabaki hadi Machi 10 ili tuungane nao mahakamani," amesema Hemed.
Amesema siku hiyo ni siku ya kuonyesha amani na mshikamano miongoni mwa Watanzania ili kupigania amani ya nchi aliyodai kuwa inapatikana ikiwa kuna haki.
"Hatupendi amani ya nchi hii iharibike lakini vilevile hatupo tayari kuona viongozi wa chama chetu wanaonewa, kesi yao hii ni kesi ya kisiasa," amesema.
Amedai kuwa hukumu yoyote ya kuwatia hatiani viongozi hao itazima amani ya nchini.
Chanzo: Mwananchi
Hawa watu uelewa wao ni mdogo.Wanatisha mahakama isifanye kazi yao?

Omba Mungu akupe akili hata kidogo basi...Hata wakifungwa hakuna mtanzania atakaye jitokeza kuwatete waharifu. Si mlijifanya kumtetea Kabendera, mmeishia wapi??? Yaani kutoka kupinga uharifu mpaka kuwa waunga mkono uharifu na ufisadi.
Hawa watu uelewa wao ni mdogo.Wanatisha mahakama isifanye kazi yao?
Kwamba wahalifu hao kama watatiwa hatiani amani ya nchi itatoweka?
What a nonsense?
---
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani kimewataka wanachama wa chama hicho kikuu cha upinzani Tanzania kuanzia leo Jumamosi Machi 7, 2020 kuvaa nguo nyeupe au kufunga kitambaa cheupe kama ishara ya kutaka haki itendeke katika hukumu ya viongozi wa chama hicho Machi 10, 2020.
Akizungumza na waandishi wa habari leo katibu wa kanda hiyo, Hemed Ali ametoa wito kwa wanachama wote kufanya hivyo kwa kuwa haki ni ya kila mtu.
Viongozi wanane wa Chadema pamoja na katibu mkuu wa zamani wa chama hicho, Dk Vicent Mashinji wanakabiliwa na mashtaka 13 yakiwemo ya kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria na kusababisha woga na hofu kwa wakazi wa Kinondoni na kifo cha Akwelina Akwilini.
Jana viongozi wakuu na wabunge wa Chadema walifunga kazi baada ya kuwasilisha hoja zao za majumuisho katika kesi ya jinai inayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wameiachia mahakama kufanya kazi yake.
Viongozi hao ni mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe; katibu mkuu wa chama hicho, John Mnyika.
Wengine ni naibu katibu mkuu (Zanzibar), Salum Mwalimu; mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa; Esther Matiko ambaye ni mweka hazina wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) na mbunge wa Tarime Mjini; Halima Mdee (mbunge wa Kawe); Ester Bulaya (Bunda); John Heche (Tarime Vijijini).
"Mavazi hayo meupe yatakuwa yakiashiria kupinga uonevu, watu tujitokeze kwa wingi siku ya hukumu pale mahakamani. Watakaoshindwa kukusanyika katika ofisi za Chadema basi wafanye midahalo ya haki siku hiyo.”
"Kuna wanawake zaidi ya 5,000 wanatoka mikoani wanakuja Dar es Salaam kwa ajili ya siku ya wanawake kesho, tumeongea na Baraza la wanawake Chadema wanawake hao wabaki hadi Machi 10 ili tuungane nao mahakamani," amesema Hemed.
Amesema siku hiyo ni siku ya kuonyesha amani na mshikamano miongoni mwa Watanzania ili kupigania amani ya nchi aliyodai kuwa inapatikana ikiwa kuna haki.
"Hatupendi amani ya nchi hii iharibike lakini vilevile hatupo tayari kuona viongozi wa chama chetu wanaonewa, kesi yao hii ni kesi ya kisiasa," amesema.
Amedai kuwa hukumu yoyote ya kuwatia hatiani viongozi hao itazima amani ya nchini.
Chanzo: Mwananchi
Bora aiseeeeee lianzisheni tuuuHawa watu uelewa wao ni mdogo.Wanatisha mahakama isifanye kazi yao?

Jifunze kuandika vizuriHata wakifungwa hakuna mtanzania atakaye jitokeza kuwatete waharifu. Si mlijifanya kumtetea Kabendera, mmeishia wapi??? Yaani kutoka kupinga uharifu mpaka kuwa waunga mkono uharifu na ufisadi.
Kumbe risasi ilifyatuliwa na viongozi wa CDM? Wahusika hawajulikani?Hawa watu uelewa wao ni mdogo.Wanatisha mahakama isifanye kazi yao?
Kwamba wahalifu hao kama watatiwa hatiani amani ya nchi itatoweka?
What a nonsense?
---
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani kimewataka wanachama wa chama hicho kikuu cha upinzani Tanzania kuanzia leo Jumamosi Machi 7, 2020 kuvaa nguo nyeupe au kufunga kitambaa cheupe kama ishara ya kutaka haki itendeke katika hukumu ya viongozi wa chama hicho Machi 10, 2020.
Akizungumza na waandishi wa habari leo katibu wa kanda hiyo, Hemed Ali ametoa wito kwa wanachama wote kufanya hivyo kwa kuwa haki ni ya kila mtu.
Viongozi wanane wa Chadema pamoja na katibu mkuu wa zamani wa chama hicho, Dk Vicent Mashinji wanakabiliwa na mashtaka 13 yakiwemo ya kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria na kusababisha woga na hofu kwa wakazi wa Kinondoni na kifo cha Akwelina Akwilini.
Jana viongozi wakuu na wabunge wa Chadema walifunga kazi baada ya kuwasilisha hoja zao za majumuisho katika kesi ya jinai inayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wameiachia mahakama kufanya kazi yake.
Viongozi hao ni mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe; katibu mkuu wa chama hicho, John Mnyika.
Wengine ni naibu katibu mkuu (Zanzibar), Salum Mwalimu; mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa; Esther Matiko ambaye ni mweka hazina wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) na mbunge wa Tarime Mjini; Halima Mdee (mbunge wa Kawe); Ester Bulaya (Bunda); John Heche (Tarime Vijijini).
"Mavazi hayo meupe yatakuwa yakiashiria kupinga uonevu, watu tujitokeze kwa wingi siku ya hukumu pale mahakamani. Watakaoshindwa kukusanyika katika ofisi za Chadema basi wafanye midahalo ya haki siku hiyo.”
"Kuna wanawake zaidi ya 5,000 wanatoka mikoani wanakuja Dar es Salaam kwa ajili ya siku ya wanawake kesho, tumeongea na Baraza la wanawake Chadema wanawake hao wabaki hadi Machi 10 ili tuungane nao mahakamani," amesema Hemed.
Amesema siku hiyo ni siku ya kuonyesha amani na mshikamano miongoni mwa Watanzania ili kupigania amani ya nchi aliyodai kuwa inapatikana ikiwa kuna haki.
"Hatupendi amani ya nchi hii iharibike lakini vilevile hatupo tayari kuona viongozi wa chama chetu wanaonewa, kesi yao hii ni kesi ya kisiasa," amesema.
Amedai kuwa hukumu yoyote ya kuwatia hatiani viongozi hao itazima amani ya nchini.
Chanzo: Mwananchi
Uyo ni mama mtu mzima usimwite dogo sema limama lenyewe halijiheshimu linabakwa kila siku linasingizia uleviUnaongea utoto gani we dogo?
Kila kitu kiko wazi mjomba
Kwenye utetezi wake yeye pamoja na Bulaya walisema waliwahi kuondoka kabla ya maandamano. Probably watafanikiwa kukwepa mkono wa sheriaJe na mashinji atafungwa?
Ni aheri ungekuwa tu unasoma maoni ya watu wenye akili. Ungejifunza kitu.Hata wakifungwa hakuna mtanzania atakaye jitokeza kuwatete waharifu. Si mlijifanya kumtetea Kabendera, mmeishia wapi??? Yaani kutoka kupinga uharifu mpaka kuwa waunga mkono uharifu na ufisadi.
Umeishia darasa la ngapi? Ni afadhali ungemtafuta mtu angalao akawa anakufundisha kusoma, kuandika na kuhesabu. Hapa uwe unasoma tu. Sidhani kama umefikia uwezo wa kuchangiaSasa watu 500 Tena wametoka mkoan Kwan Hawa waliopo dar hawatosh au ndio kutaka waonekane wao ni weng tanzania kwenye vyombo vya habar vya mabeberu alafu uyo anae ongea ivyo anatakiwa ajue likitokea tatizo yeye ndie atahusika moja kwa moja sababu yeye ndie alie andaa na ndio atajua kwann kina mbowe wanakes ya akwelina serekal iwe nao Makin Hawa watu wamesha ona kwenye uchaguz hawafui dafu wanataka vurugu et wafunge vitambaa vyeupe kichwan napenda kuishaur serekal kwamba wakiandamana Waache tu waandamane nyie toen ukum kama kaiwada muwasubir kwenye maandamano yao watafanya nn ila mue Makin na camera mue mnarikod matukio mana hawachelewi kuanzisha vurugu IL tu mtumie nguvu ionekane mnawapiga raia mnacho takiwa wachukuen tu video kelele zao zote ili ziwe kama ushaid
Sent using Jamii Forums mobile app
K kweli weweHata wakifungwa hakuna mtanzania atakaye jitokeza kuwatete waharifu. Si mlijifanya kumtetea Kabendera, mmeishia wapi??? Yaani kutoka kupinga uharifu mpaka kuwa waunga mkono uharifu na ufisadi.
Vyote sijui ila najua ipi serekal nzur yupi mchumia tumbo na yupi mzalendo pia najua kuesabu hela tuUmeishia darasa la ngapi? Ni afadhali ungemtafuta mtu angalao akawa anakufundisha kusoma, kuandika na kuhesabu. Hapa uwe unasoma tu. Sidhani kama umefikia uwezo wa kuchangia