Konseli Mkuu Andrew
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 749
- 875
Ni Mimi ndo nimeweka bossMods wa JF wameshaweka label ya TETESI😅
ni mwenyekiti pekeyake ndio anaeweeza kuchangiwa na kuwekewa mawakili zaid ya elfu2 wengine ni mafisi tu labda kwanza ang'olewe meno, avunjwe taya au kiuno for kiki and public sympathy 🐒Andamana ndio utajua wanavyosaidia
Issue sio kuandamana.Juzi umesikia UMOJA WA WANAWAKE CCM wamewawekea Mawakili wale wamama walioshtakiwa na kusomewa hukumu juu ya kukutwa na nyamapoli, sikusikia CHADEMAAndamana ndio utajua wanavyosaidia
Nimeanza kufahamu program za CHADEMA mkuu, huko unakotaka nije nitakufikiaAchana na chadema au ccm, jiulize
Watanzania wanawasaidia vipi raia wenzao wenye kesi za jinai na madai dhidi ya Jamhuri, au wananchi wasipotendewa haki?
Hii hali ya kusubiri taasisi fulani iseme au ifanye jambo kwaajili ya wengine ndio imetuweka hapa.
Mkuu Konseli Mkuu Andrew , ni kweli Watanzania wengi wanateseka kwa kukosa haki zao kutokana na umasikini kwa wananchi wengi wanaishi katika lindi la umasikini uliotopea.Kuna kesi nyingi sana zilizofanyiwa hukumu na ambazo mashauri yanaendelea na wengi wa watuhumiwa ni kutokana kaya masikini sana ambao hawana uwezo wa kuweka Mawakili katika Mahakaman mbali mbali.
CHADEMA ni chama cha kidemokrasia jina tuu, kama kinashindwa kujipigania haki zake tuu, kitaweza vipi kupigania haki za wengine?.Kwakuwa CHADEMA ni chama kinachopigania haki na demokrasia , kina program yoyote ya kuwasaidia hawa raia?
Hapa namaanisha sio hadi awe mwanachama wa CHADEMA .
NawNawasilisha
Mkuu hongera sana kwa hiki Kipindi cha HAKI KWA MASLAHI YA TAIFA .Hiki ndicho tunachohitaji kutoka kwa watanzania wanawatakia mema wengine.Hongera sana.Mungu aendelee kukupa afya na weledi katika kutimiza hiki ulichokianzaMkuu Konseli Mkuu Andrew , ni kweli Watanzania wengi wanateseka kwa kukosa haki zao kutokana na umasikini kwa wananchi wengi wanaishi katika lindi la umasikini uliotopea.
CHADEMA ni chama cha kidemokrasia jina tuu, kama kinashindwa kujipigania haki zake tuu, kitaweza vipi kupigania haki za wengine?.
Ila pia tuko akina sisi ambao tumejitolea kuwasaidia Watanzania masikini kupata haki zao
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=d-hm03_i5ZzOuNXjP
Asante, amenMkuu hongera sana kwa hiki Kipindi cha HAKI KWA MASLAHI YA TAIFA .Hiki ndicho tunachohitaji kutoka kwa watanzania wanawatakia mema wengine.Hongera sana.Mungu aendelee kukupa afya na weledi katika kutimiza hiki ulichokianza