johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Wakati Mbowe anateseka Segerea mlikua mnamkejeli humu..Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa
Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani?
Mungu ni mwema wakati wote!
Hiki chama kilikufa kuanzia miaka ya 2014 kiliposaliti ideology yake na kuanza biashara za kuuza nafasi za uongozi.
Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa
Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani?
Mungu ni mwema wakati wote!
Wako Twitter na space huko 😁😁😁😁Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa
Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani?
Mungu ni mwema wakati wote!
Tunaikumbuka Chadema ya Dr Slaa kwa kweliUsihamishe magoli. Kwanini CCM isikutetee. Usipende ujinga wa kuifanya chadema ni tambala lako. Uwe na heshima. CCM ifanye maamuzi bungeni ya Tozo halafu ulete kelele na unafiki wako wa kuisema CHADEMA.
Mambo mengine kaa kimya acha unafiki. Juzi hapa ulimwita Mbowe gaidi na kifurahia Tundu Lissu kulimwa risasi, Ila Leo CCM yako imeboronga unajifanya kuisema CHADEMA. Kipindi mnafurahia kuikomoa CHADEMA kwa kujaza CCM bungeni mlidhani nyie wa maana?. Kuleni dharau yenu maana hamjielewi.
Chadema ikae kimya, iwaache na CCM yenu iliokosa mwelekeo.
Mmejawa na upumbavu sana, CCM ndiyo mnayoipenda lakini inapoonyesha makucha yake mnaililia Chadema. Huyo Dr Slaa hayo ya waraka angetenda enzi za JK lakini sio huu uzao wa mnayoita awamu ya tano.Tunaikumbuka Chadema ya Dr Slaa kwa kweli
Angekuwa ameshapiga mikwara kwa Waraka mzito
1. Wewe ulitaka Chadema iwa tetee wananchi kwenye mambo gani ?Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa
Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani?
Mungu ni mwema wakati wote!
Hilo libaba lijingalijinga sana na nahisi liko above 50's umepoteza muda wako wa thamani kulijibu hilo zwazwa.Usihamishe magoli. Kwanini CCM isikutetee. Usipende ujinga wa kuifanya chadema ni tambala lako. Uwe na heshima. CCM ifanye maamuzi bungeni ya Tozo halafu ulete kelele na unafiki wako wa kuisema CHADEMA.
Mambo mengine kaa kimya acha unafiki. Juzi hapa ulimwita Mbowe gaidi na kifurahia Tundu Lissu kulimwa risasi, Ila Leo CCM yako imeboronga unajifanya kuisema CHADEMA. Kipindi mnafurahia kuikomoa CHADEMA kwa kujaza CCM bungeni mlidhani nyie wa maana?. Kuleni dharau yenu maana hamjielewi.
Chadema ikae kimya, iwaache na CCM yenu iliokosa mwelekeo.
Uko sahihi bwashee. Chadema ya kutetea wananchi ilikuwa enzi za Dr slaa, hii ya sasa ni genge la wahuni fulani wachumia tumbo na walamba asali tu.Hiki chama kilikufa kuanzia miaka ya 2014 kiliposaliti ideology yake na kuanza biashara za kuuza nafasi za uongozi.
Huyo Slaa yupo CCM kwa sasa.Awatetee sasa!Uko sahihi bwashee. Chadema ya kutetea wananchi ilikuwa enzi za Dr slaa, hii ya sasa ni genge la wahuni fulani wachumia tumbo na walamba asali tu.
Kwani chadema mnatetea nini sasa? Ushoga?Huyo Slaa yupo CCM kwa sasa.Awatetee sasa!
Tunaikumbuka Chadema ya Dr Slaa kwa kweli
Angekuwa ameshapiga mikwara kwa Waraka mzito