Lakini shaka na kinana wanakiimarisha chama 20225 ni kupita bila kupingwa tenaKila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa
Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani?
Mungu ni mwema wakati wote!
Kwani wewe ni shoga na wamekutetea haki yako ta kutumia KY?Kwani chadema mnatetea nini sasa? Ushoga?
Chadema ya Dr. Slaa ingekuwa inatembelea upepo wa tozo mpaka watawala akili zingewarudia, dj kashalamba asaliTunaikumbuka Chadema ya Dr Slaa kwa kweli
Angekuwa ameshapiga mikwara kwa Waraka mzito
Kwani wananchi nao waliwatetea chadema wakati wanateswa na magu,KILA mmoja apambane na hali yakeUko sahihi bwashee. Chadema ya kutetea wananchi ilikuwa enzi za Dr slaa, hii ya sasa ni genge la wahuni fulani wachumia tumbo na walamba asali tu.
Kwa nini usilaumu CCM wanaoleta matatizo, badala yake unalaumu CHADEMA kwa kutotetea wananchi wanaopata matatizo yanayoletwa na CCM? Huoni kusubiri matatizo yatokee halafu yaje yatetewe ni mlolongo mrefu kuliko kuzuia matatizo yasitokee? Wenye dhamana ya kuongoza serikali ni CCM, CHADEMA katika uwakilishi wa wananchi haina nguvu bungeniBinafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani?
Tumeacha kutetea watu msiojitambua.Kaeni hivyohivyo.Sasa bwashee si uniambie tu mnatetea nini, badala ya kutoa povu kama lote !!
Watetee wajinga?Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa
Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani?
Mungu ni mwema wakati wote!
We kwa hio kuna watu walikuja Duniani kujusemea wewe? Huna mdomo?Hiki chama kilikufa kuanzia miaka ya 2014 kiliposaliti ideology yake na kuanza biashara za kuuza nafasi za uongozi.
Unataka wafanyeje? Wewe kwani umezuiwa kuwa mwana harakati?Na wale wanaojiita wanaharakati je?
Wakina Fatma, Maria nao si walamba asali sio!
Mwamba alizusha mizinga, walilia hao!
Ndio matokeo ya kuiba uchaguzi na kuzima mikutano ya hadhara. Sasa ngoja tule jeuri ya CCM (JPM na Mwigulu/zungu) na bado. Tulikuwa tunatoa maziwa sasa twatoa damu baadae ni usaha na kifo.Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa
Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani?
Mungu ni mwema wakati wote!
Sasa kwanini mnataka wawatetee na kwenye kila kosa la ccm analaumiwa chadema?Mbona wakati wa JPM awakukaa kimya ...unajua kwanini ? Chadema ni vibaraka wa mafisadi wa nje na ndani ya nchi wala siyo watetezi wa haki ndiyo maana kwa sasa wamenyamaza tofauti na kipindi cha JPM kwa sababu tayari mafisadi wa ndani na nje ya nchi wameshika uongozi na hapo sasa ndipo chadema imejimaliza kabisa yenyewe .
Ukweli ni kwamba chadema ni genge la wahuni tu hakuna chama pale msipoteze muda wenu bure ...mbinu ya sisi wananchi kupambana na wahuni wa ccm na chadema ni kuwa na msimamo wa kuwa kataaa katika kila jambo la uchawa na upumbavu kama sensa nk
Hao wanaojitambua mnawatetea kiaje sasa? Au watu wote hawajitambui?Tumeacha kutetea watu msiojitambua.Kaeni hivyohivyo.
Sasa mkuu Ka-lumya, nyie mpo kwa ajili ya nini sasa?Kwani wananchi nao waliwatetea chadema wakati wanateswa na magu,KILA mmoja apambane na hali yake
Bwashee mimi siyo mfuasi wa tunduKwani wewe ni shoga na wamekutetea haki yako ta kutumia KY?
Unataka kutetewa badala ya kujitetea mwenyewe,basi wewe ni boya.Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa
Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani?
Mungu ni mwema wakati wote!
Hawa watu ni wa ajabu sana lengo lao ni kusikia Chadema imeshafutwa hapo watapumua la sivyo wataendelea kuteseka mpaka mwisho wa dunia kwa sababu ya CHADEMA.mlipopeleka wabunge wa ccm tu bungeni na kuzuia mikutano ya vyama vya siasa mlitegemea chadema wawasemee toka wapi?
Wakidai katiba mpya itakayozuia mambo kama haya mnasema wana uchu wa madaraka.