white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,896
Kutetea majitu yasiyojitambua ni kazi sana!!acha tu yapigike hadi akili itakpokuwa sawa!!mala ngapi yanazulumiwa wanakuja viongozi wa upinzani/wanaharakati wanayafafanulia, hayaelewi anakuja yile anayewanyonya anawaambia achaneni na huyo anataka kuvuluga amani ya nchi yeye atakimbilia ulaya!!tayari yanamuamini.Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa
Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani?
Mungu ni mwema wakati wote!
Kila mmoja ajitambue,aelewe tatizo ni CCM na asimame kidete kuanzia alipo kujitetea.Akatae watu kama weye wenye agenda za kijinga kuitetea CCM.Weye na takataka wengine ni virusi hatari nchini Tanzania.Muombewe dua baya mfe kibudu.Hao wanaojitambua mnawatetea kiaje sasa? Au watu wote hawajitambui?
Weye nawe uwe muelewa.Unaulizwa hiki unajibu upompompo.Jikite kwenye tozo.Achaga ufwala!Hata wao wanatambua juhudi kubwa Zinazofanywa na mh Rais wetu, wanatambua na wanaona namna fedha hizo zinavyotumika katika kusimamisha miradi mbalimbali ya maendeleo inayogusa maisha ya watu, wanatambua kuwa Ni lazima nchi ijengwe na wananchi wenyewe na kwamba hata huko ulaya walipitia huku tuliko sisi
Tumuunge mkono mh Rais na tumsemee mh Rais kwa kazi kubwa anazozifanya
Yani watu kama sisi tufe, halafu mbaki mazuzu kama wewe, siyo?Kila mmoja ajitambue,aelewe tatizo ni CCM na asimame kidete kuanzia alipo kujitetea.Akatae watu kama weye wenye agenda za kijinga kuitetea CCM.Weye na takataka wengine ni virusi hatari nchini Tanzania.Muombewe dua baya mfe kibudu.
Ngoja niite wana JF wanitajie mapumbafu matano yaliyomo humu.Ukikosekana nahamia Nachingwea kuvuna korosho.Yani watu kama sisi tufe, halafu mbaki mazuzu kama wewe, siyo?
Tanzania itakuwa nchi ya ajabu sana duniani, haijapata kutokea tangu ulimwengu uwepo!
Nachingwea kule kwa akina mwamwejo hawawezi kupokea mtu kama wewe, ni afadhali ubaki tu huko uliko. Utuache na korosho zetu tutavuna wenyewe: mbegu tutauza, tunda tutatengenezea ulaka au nipa.Ngoja niite wana JF wanitajie mapumbafu matano yaliyomo humu.Ukikosekana nahamia Nachingwea kuvuna korosho.
Na kuna mpango wote wa huko mfukuzwe nchini Tanzania.Mna sura kama vibaka.Sura mnachora katuni kama magazeti?πππNachingwea kule kwa akina mwamwejo hawawezi kupokea mtu kama wewe, ni afadhali ubaki tu huko uliko. Utuache na korosho zetu tutavuna wenyewe: mbegu tutauza, tunda tutatengenezea ulaka au nipa.
Mlienda kuwapigia ccm kura Sasa mnataka CDM ndio tuwatetee mbna ninyi hakututea wakt magufuli anafuruga upinzani mli kah kimya na mliona waswas leo mnataka tuje kuwatetea kila mtu ajiteteeKila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa
Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani?
Mungu ni mwema wakati wote!
Tuna hatimiliki ya utanzania: hafukuzwi mtu hapa, tutabanana hapa hapa.Na kuna mpango wote wa huko mfukuzwe nchini Tanzania.Mna sura kama vibaka.Sura mnachora katuni kama magazeti?πππ
Mna hofu nikiwaangalia mtapata ujauzito?Subirini mfukuzwe nchini.Watu gani ninyi wafupi kama kalamu?Tuna hatimiliki ya utanzania: hafukuzwi mtu hapa, tutabanana hapa hapa.
Halafu huo mchezo wa kuangalia sura za midume mwenzio uache, utakuja kunaniliu bure
Mjini hapa bro, huo mchezo wa kuangalia midume usoni utakuja kubashiwa siku moja. Kama hunielewi basi we endelea.Mna hofu nikiwaangalia mtapata ujauzito?Subirini mfukuzwe nchini.Watu gani ninyi wafupi kama kalamu?
Tatizo umejawa hofu.Mimi huwa siwaangalii ninyi.Naangalia mlivyo wafupi halafu mna misambwanda.Anyway,ntakuja kuongeza mke wa pili huko.Mjini hapa bro, huo mchezo wa kuangalia midume usoni utakuja kubashiwa siku moja. Kama hunielewi basi we endelea.
Unaangalia na misambwanda ya minjemba? Wewe lazima utakuwa mfuasi wa tundu a.Tatizo umejawa hofu.Mimi huwa siwaangalii ninyi.Naangalia mlivyo wafupi halafu mna misambwanda.Anyway,ntakuja kuongeza mke wa pili huko.
NB:Uhalisia wa id yako ulipaswa usomeke "UMKOTHO WE SIZWE" siyo hiyo takataka uliyoandika.