Chadema huwezi kuiweka pembeni ni watu zaidi ya 9 M

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Arusha, asanteni sana. Baada ya muda mrefu bila kukutana, leo mmekuwa mashuhuda wa upendo wa demokrasia na haki katika nchi yetu.

Pamoja na hofu iliyojengwa juu ya maumivu makali, mateso na mauaji, bado mmejitokeza kwa matumaini makubwa.

 
Tanzania tuko 67milion -15million = 52millioni CMM

Hii ndiyo inadhihirisha kuwa wanaCCM wengi ni zero brain.

Fikiria mtu anathubutu kusema kuwa 67m-15m= 52m ni wanaCCM!! Hivi huyo mtu atakuwa na akili japo ya kumwezesha kuvaa vizuri? Au ndiyo wale ambao gari ikisimama wanashuka na kwenda kukojelea tairi za gari?

Mtu hajui kuwa katika idadi ya Watanzania 67m, karibia 50% ni under 18 years old, na wengine siyo wanachama wa chama chochote.

Approximately 32 million people are under 18 years old in Tanzania, representing nearly 49% of the total population.
 
Bunduki, risasi, utekaji na kesi za kubambikia haziwezi kuiua Chadema. Zaidi zaidi zitaifanya izidi kuwa strong!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…