kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,207
- 7,364
Kwanza,
Nianze kwa kumpongeza Heche, Makamu Mwenyekiti Chadema. Pamoja na hila zote, ameendelea kuchanja mbuga na kusokota timu yake vizuri. Moto unawaka. Pamoja na viongozi wengine, Mahinyila aandaliwe ratiba, hatumuoni sana. Wakati huu tunahitaji kumuona "kila mtu kwenye mchakato".
Pili,
VItimbi vya Njaa 55 na upuuzi wa Msajili haustahili kupewa airtime na viongozi wetu. Kama sio kuwaignore kabisa, mistari miwili ya kejeli inatosha kujibu takataka ...Lissu fundi sana wa hizi. Twende hivyo. Mbowe mfano asitajwe kabisa kwenye mikutano, ni kosa kutoa airtime kwa dalali!
No Reform No Election ndio agenda, na wananchi wanaitaka elimu hiyo. Tusitumie mikutano kujibizana na akina yeriko na wenzake au msajili na mafwele.