Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Hello JF,
Nimekaa nikaona nije na hiki kitu kwa manufaa ya upinzani tanzania, please unakaribishwa ku like ama ku-comment
Chadema must work on following if it is to win the next election.
1. Kuwe na clear vision ya chama, kwamba nini wanataka ku achieve na kwa baada ya muda gani. Naamini kukiwa na vision ,goals can be narrowed and be achievable. right now stu kijui kama watu wanaelewa direction Chadema inayokwenda au inataka kwenda in the near future. Vision ni muhimu sababu inasaidia kuonyesha nini malengo yenu kwa wananchi, naamini lengo lenu sio ku-win tu election ama kukishinda chama tawala kama ambavyo wengi mtaani wanaamini bali ku serve wananchi, vision ambayo iko well communicated inalDeeta better understanding of your activities ambayo pia ita influence watu kuwa join.
2. Delegation of powers; Chadema has to change the current leadership style ,instead of recent rigid top-down leadership style, they should adopt bottom-up leadership/processes. I mean, decisions making has not have to wait for top leaders akina Mbowe, Mnyika and lema, instead there should be Mbowe, Mnyika, Lema and Co at regional level, district level who can make their own decisisions about the party, this delegation will give a sense of responsibilities and commitment to the party which is important for party's survival. I guess hata wale waliokuwa wanahama hama chama walkua wana experience hiki kitu kila kitu revenues, budget, decisions are all made and managed by top leaders and no activities that make them feel responsible/commited to their party.
3. Chama kitafute means za kuongeza revenues, huwezi kupigana na mtu mwenye resources zote wakati wewe huna, CCM ina mali nyingi, nyingine za Tanu huko, hivyo kupigana na CCM kunahitaji mali, kama hamna system ya kuongeza revenues basi mtafute sasa, Pia kuwe na clear communication/transparency when it comes to money. Enough said.
4. Kampeni ziwe stratergically done, for example kuweka efforts kwenye areas ambazo tayari ni majimbo yenu ni wastage of resources, kwa mfano ukija Dar chaguzi iliyopita utasema Lowasa ndio rais, wakati almost 76% ya Watanzania wanaishi vijijini/rural areas huko ndiko kwa kuweka efforts if you want to win election.
5. Profilling' kuna ombwe la kuchagua watu watakaosimama kwenye uchaguzi, kwa hili mimi nashauri kuangalia attributes/profile la wale walioshinda sio walioshindwa uchguzi kwa mfano Aidani Keanan, na kusimamisha watu wenye kufanana profile
Nyingine ongezeeni, karibuni