Chadema Ifungue Kesi juu ya kauli ya Makala kwa Shutuma za Ugaidi wa kibaiolojia na mauaji ya halaiki

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Nimesikitishwa na Kauli ya Amosi Makala.

It is such a shame kuwa na viongozi wa aina hii. CCM ni chaama cha watu wenye intellectual ndogo snaa.

Shutuma za kutengeneza Biological Weapons ni global suicide sio tu kwa Tanzania bali duniani kote.

Ikumbukwe pia Corona ilitengenezwa maabara from China na kusambaa dunia nzima.

Thousands of people died we all know that. Chinese denied however , over the accusation to have fabricated the Virus in labs otherwise ingekuwa ni case kubwa mno. The Gvt of China denied publicly the accusations.

As a Scientist, I admit kuwa it is possible to fabricate Virus in labs kama watu wakipewa facilities and fund to do that , the virus will be Incubated na kusambazwa kwa watu wachache tu pale KKO then its done. Wazungu walishawahi kufanya huo uhuni pale Congo na Ebola ilisambaa kisha wakasema nyani.

It is terrible Accusation ambayo inatakiwa kujibiwa kisayansi, na kwenye vyombo vya Sheria....sidhan kama makala anaweza kuongea kitu out of nowhere and none sense. he must have something to tell the world ..........

Chadema wasijibu hizi Shutuma kwa mitandao, it is deadly mistake to do that ....the accusation has legal impact kama Taifa la Tanzania likisambaa na Ebola and Mpox by chance na kuathiri nchi jirani.

Tuhuma za Makala zinatakiwa kuthibitishwa Mahakamani.

Makala aifahamishe intelligence ya nchi, otherwise achukuliwe hatua kali za kisheria ikiwa ni sambamba na chama chake kuilipa Chadema Fidia for such defamation and intimidation.

Soma Pia: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!

Amos akathibitishe kwa Ithibati as to how Chadema wants to become Biological Terrorrist na kuuwa millions ya watanzania.

Makala atueleze;

Maabara inayozalisha Virus for biological terrosism ipo wapi?

Mil 100 waliyopata Chadema kwenye Tone Tone haitoshi kuzalisha Virus wa waina 2 tofauti with different species.....hiyo ni hela ndogo sana ku create facilities environment for Virus fabrication and spread . it does not suffice even by 40% of the total cost for one virus fabrication......

Kama ni kweli, Makala aseme ni nani yupo nyuma ya hiyo Motive...... kama ni kweli, then some body must be sponsoring , ni nani huyo anaetaka kuuwa watanzania?

Makala aseme specifically , pale Chadema ni nani anaeshiriki hiyo biological terrosims ? Amesema viongozi waandamizi, nadhan awataje majina

Msemaji wa Chadema atoke na kueleza masikitiko yake, sambamba na kufungua Mashtaka dhidi ya ACCUSATIONS.

Msemaji wa Serikali alizungumzie hili swala, taharuki imekuwa kubwa juu Ugaidi wa kibaiolojia.

mwenyekiti wa CCM atueleze Ugaidi wa Kibailojia uliotajwa na watendaji wake, yeye amechukua hatua gani?

Jeshi la Polisi lim summon Makala kusaidia kwenye Uchunguzi wa huo Ugaidi.

Dr. Megalodon Mushi, PhD Candidate( University of Ottawa)
WHO Regional Office,
Rue 52 , Ottawa
Canada
 
Attachments

  • v09044g40000cvg21tvog65g6uttstdg.mp4
    15 MB
Turning themselves into a first year law of tort discussion group, whether you can prove tort kwa taasisi
 
CCM wakifika kwenye madaraka hata mambo yanayoharibu sifa ya nchi makada wao huwa wanaropoka tu. Huyu karopoka na atakua anajuta huko aliko. Apuuzwe tu.
 
Kauli hii inakwe.da kumuangusha Prof Janabi kwenye mbio zake za kuwania Ukurugenzi WHO. Watanzania wote tumeonekana viazi
 
Amos Makala na yule mkuu wa mkoa wa dar siwatofautishi akili zao. Sijui walipitia wapi kupata hizo chances?
 
Ni nadra sana kukuta mtu ana mwili umevimba kama wa Makalla halafu akawa na akili.
 
Back
Top Bottom