Inawezekana ndo ikawa chadema mbovu kupindukia.Siasa za vyama vingi hazitaki jazba.Hao wote ni waongeaji wazuri bila vitendo maana toka walipaanza kuongea hakuna badiliko ata moja lililoleta impact kwenye jamii zaidi yawao kujichukulia sifa na umaarufu binafsi kama wanasiasa machachari.Ccm walishavuka level yakuogopa waharakati namakelele ya mdomo.labda kama tunataka chama cha kufanya siasa za kiharakati ambazo chadema walizifanya uko nyuma kipindi cha wilbrod slaa na hazikusaidia zaidi yakuwapa umaarufu mwepesi.