CHADEMA ijayo chini ya Lissu: Godbless Lema, Makamu upande wa Bara; John Heche, Katibu Mkuu

CHADEMA ijayo chini ya Lissu: Godbless Lema, Makamu upande wa Bara; John Heche, Katibu Mkuu

Baada ya John Heche kuonyesha kumuunga mkono Lissu na Godbless Lema kuonyesha nia ya kugombea na kumuunga umakamu, huu ndio mtazamo wangu wa itavyokuwa CHADEMA chini ya Lissu iwapo Lissu atashinda.

Imeisha hiyo.
Kibaraka lema anagombea? Tupa kule takataka hiyo.
 
Mbele ya Lissu, Lema na Heche nchi itawaka moto.

Yaani ilikua Chadema imeshapooza kabisa mana huwezi kutofautisha na group la whassap la Wamachame la kuchangia Harusi.
Ukitaja tu Mbowe mtu anajua una maanisha Chadema mpaka inaboa
 
Baada ya John Heche kuonyesha kumuunga mkono Lissu na Godbless Lema kuonyesha nia ya kugombea na kumuunga umakamu, huu ndio mtazamo wangu wa itavyokuwa CHADEMA chini ya Lissu iwapo Lissu atashinda.

Imeisha hiyo.
Itakuwa Chadema ya wanaharakati kila mmja ana mdomo 😂 😂
 
Inawezekana ndo ikawa chadema mbovu kupindukia.Siasa za vyama vingi hazitaki jazba.Hao wote ni waongeaji wazuri bila vitendo maana toka walipaanza kuongea hakuna badiliko ata moja lililoleta impact kwenye jamii zaidi yawao kujichukulia sifa na umaarufu binafsi kama wanasiasa machachari.Ccm walishavuka level yakuogopa waharakati namakelele ya mdomo.labda kama tunataka chama cha kufanya siasa za kiharakati ambazo chadema walizifanya uko nyuma kipindi cha wilbrod slaa na hazikusaidia zaidi yakuwapa umaarufu mwepesi.
 
Back
Top Bottom