CHADEMA ijifunze kwa RENAMO ya Msumbiji

Uzi umeingiliwa na mapumbavu ya ccm, Yani ccm aishauri chadema huo ujinga ataukubali yule mchungaji fake msigwa na yule CPA makala asiyepractise.
 
Sasa hapa kwa nini usiongelee NCCR-Mageuzi ambayo ina reflect same path
 
Kuna somompoa kutokea ghana.

Kitakwimu kwasasa chadema ajenda kuu ni kurejesha viti vya upinzani wanatavyojaaliwa.

Si kwa nafasi ya rais.

Ili ushinde nafasi ya urais ni lazima kuwepo vigezo vinavyopelekea kushinda nafasi hiyo.

mfano ngome za chama. Chadema haina kabisa habari kuwa ukanda wa mwambao nao ni watanganyika na kwamba wanapaswa kushawishika ili ikiunge mkono.

Kwa ufupi ukanda wa pwani ndio yenye kura ya maamuzi na hadi sasa ccm inaongoza kwa mcali sana ikifuatiwa na act
 
Uzi umeingiliwa na mapumbavu ya ccm, Yani ccm aishauri chadema huo ujinga ataukubali yule mchungaji fake msigwa na yule CPA makala asiyepractise.
elezea nafasi ya Chadema kujifunza dhidi ya renamo, acha mchecheto wa vyama vingine gentleman 🐒
 
Ni ushauri mzuri Sana kwa CDM, ili chama kuwa taasisi imara inatakiwa iwe na zaidi wa wanachama 10 wenye ushawishi wa kuwa mkt Taifa.

Ili tujue CDM ni dhaifu inabidi uchaguzi uwe huru, ukimpora mtu na kusema umempora kura kwa kuwa dhaifu!! Udhaifu huo utakuwa nao wewe mtawala, kwanini uibe kura Kama unashinda na chama dhaifu?

Kwani wafuasi wake watekwe Kama ni dhaifu?
Kwa waerevu watajua hivo ni vitisho ili wakate tamaa. Viongozi wake wanatakiwa kuwaongoza wafuasi wako katika kutokukata tamaa. Pambano likiwa Kali umekaribia kutoboa!! Uvumilivu wa machungu ya wachache itatoa matunda ya furaha ya karne ijayo moja.

Wapinzani Wana la kujifunza na watawala wanalo kwa FRELIMO NA RENAMO
 
Bonge la ushauri. Hii dhana kuwa Mbowe akiachis uenyekiti chadema itakufa ni dhana potofu na dhaifu mno.

Vipi akitwaliwa ghafla na mwenyezi Mungu? Je, chama kitawekwa maktaba?
 
Noted mkuu
 
Uzi umeingiliwa na mapumbavu ya ccm, Yani ccm aishauri chadema huo ujinga ataukubali yule mchungaji fake msigwa na yule CPA makala asiyepractise.

CCM wanajiona Wana hati miliki na nchi ya Tanzania.
 
Kweli kabisa mkuu. CHADEMA inavingi vya kujifunza. Hasa kujua ngome zake na kuzilinda.
 
Kweli kabisa mkuu. Umeongea ukweli kabisa.
 
Bonge la ushauri. Hii dhana kuwa Mbowe akiachis uenyekiti chadema itakufa ni dhana potofu na dhaifu mno.

Vipi akitwaliwa ghafla na mwenyezi Mungu? Je, chama kitawekwa maktaba?

Kweli kabisa mkuu. Inabidi CHADEMA iondokane na dhana ya mwamba tuvushe. Tuwe na machaguo hata matatu ya uenyekiti, tukijilemaza kuwa bila Mbowe hatuendi siku likitokea la kutokea migogoro itaanza na chama kina weza kufa.
 
machaguo matatu tu gentleman?

sasa wagombea wawili si wataungana kumdhoofisha moja wao mwenye nguvu na mipango ya maana zaidi dhidi ya wala rushwa wasio na sifa na uwezo wa uongozi ispokua mali, fedhaa na nguvu ya ushirikina walionao

kwenye demokrasia tamu ni ama wawe wagombea wawili pekee au zaidi ya wa4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…