CHADEMA ijifunze kwa RENAMO ya Msumbiji

CHADEMA ijifunze kwa RENAMO ya Msumbiji

1. Mmiliki wa Jengo yupo wapi?
NANI NI MMILIKI WAJENGO.
2. Ramani za jengo ziko wapi??
Uokozi bila Ramani.

3. Ghorofa nne watu wanaokolewa siku nne na sio moja. TAIFA LIMEOZA.

4. Selikali ipo Radhi kununua Mabomu, magali ya Jeshi nk kuizuia CHADEMA na Inashindwa KUNUNUA VIFAA VYA UOKOAJI kwa Raia wake.

5. Niffer amejipeleka Kituoni, Yuko wapi mmliki wa Jengo.

6. Je ni nani aliyetoa vibali vya kujenga na kubomoa anakamatwa Niffer.
TANZANIA YANGU MASIKINI

ZIMA MOTO NA UOKOAJI NI SAWA NA HAKUNA KITU ZERO KABISA.
JESHI LIVUNJWE HARAKA

KARIAKOO HAKUNA PAKING HAKUNA OPEN SPACE HATA MOJA

MAJENGO MENGI KARIAKOO YAMEOZA
 
Bahati mbaya wanasiasa ni wabinafsi na wenye hila sana kuweza kuzingatia maslahi ya umma na hata ya vyama vyao.
 
Viongozi wa CHADEMA hawataki kusikia Wala kuelewa.
 
Hii mada inafaa kujadiliwa upya. Kilichotokea Kwa RENAMO kitaenda kutokea Kwa CHADEMA wasipokuwa na akili wakaamua kubaki na Mbowe
 
Back
Top Bottom