CHADEMA Ijiuanganishe kwenye kesi ya kupinga tuzo ya Dowans


crap
 
hujui maana ya kujiunga kwenye kesi ambayo una maslahi nayo hata kama walioileta mwanzoni ni watu wengine?

Mzee Mwanakijiji, Elungata ni ugonjwa. Unaambukiza. Any attempt to help him will take you down and that will be a heart breaking moment for all of us.

For catholics, remember the story of St. Aloyce. Alifariki akisaidia wagonjwa wa ugonjwa wa panya!!
 

Mkulu

Kafulila mbunge wa NCCR kutoka mkoa wa Kigoma amekusudia/amewasilisha hoja binafsi kuhusiana na DOWANS ktk kikao cha Bunge kinacho tarajiwa kuanzaa wiki ijayo, je yeye ni CDM?

Tuepuka kupenda sana,kupenda kupita kiasi ni hatari kwa ustawi wa fikra zetu na michango yetu,ukipenda sana unakuwa mshabiki na sisi haturuhusiwi kuwa mashabiki.
 
Mkuu MM zidumu fikra zako! Nadhani ukimya huu CDM unapika mambo...kwa watu makini hawawezi kuacha jambo hili lipite kirahisi rahisi tu!
 
Coalition governments or grands governments education is very important it seems neither chadema nor you know what is real coalition governments its advantages and disadvantages.

Perhaps you could educate CDM and the general (JF) public the 'nitty grity' of coalition governments and how that information is relevant to the subject at hand?
 

Chadema hawana haja ya kujiunganisha katika hili, mahakama nzuri katika hili ni WANANCHI. Chadema walishauwasha moto na dawa yake ni kuuchochea uendelee hadi kieleweke. Kujiunga na utaratibu huu mwingine itakuwa kurudi nyuma, wote mnajua mizengwe ya mahakama zetu, kesi inaweza kuendelea hadi 2015 na wakati huo Dowans haitakuwa agenda tena.
 

Duu! Unanisikitisha sana! Unapokopa unaweka dhamana, na usipolipa dhamana yako inataifishwa/kuuza ili kulipa deni, sasa fisadi gani wa CCM ambaye mali zake ameziweka dhamana kwa ajili ya ufisadi wake aliofanya?????? Au huelewi mkopo ni nini? Unapotaka kukopa unaelewana na mkopeshaji, Ninyi mafisadi mmeelewana na NANI?????
 
I dont know if you know what u r talking about.kwa hiyo chadema wapeleke hoja mahakamani ama wapeleke wakili ama gani?

Duuh! Mtu akiwa na comfo huku hana substance,ni comedy nzuri sana kuiona....mi nacheka tuuu....
 
Mbona unanong'ona sasa? Ni wazi huamini unachokitamka na hata nikikuita urudie tena mbele za watu huwezi kurudia. Nenda ukremu upya and then come back when you have some senses in them brains...
 
Mbona unanong'ona sasa? Ni wazi huamini unachokitamka na hata nikikuita urudie tena mbele za watu huwezi kurudia. Nenda ukremu upya and then come back when you have some senses in them brains...

Msilete double standards, lolote linalopingwa na mtu asiye na mamlaka ya kimaadili kulikemea si rahisi kushinda. Mbowe naye fisadi.
 
Mbona unanong'ona sasa? Ni wazi huamini unachokitamka na hata nikikuita urudie tena mbele za watu huwezi kurudia. Nenda ukremu upya and then come back when you have some senses in them brains...

Thank you! Kuna watu huelewa in hard ways
 
Coalition governments or grands governments education is very important it seems neither chadema nor you know what is real coalition governments its advantages and disadvantages.

There are both general and specific conditions which necessitates and dictates coalition govt's lifespan . One lies with the aspect of simple majority (MPs). Another could be national security status, next could be (if any) common denominators of parties agendas toward national issues, then you may war and truce factors leading-up to elections and so forth.
Further, to my simple summation there are no significant practical differences between national unity govt's and coalition govt's. Rather it has more to do with technicalities as oppose to practicality.

By means of mere implication, do you think Tz need a coaltion gov't?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…