CHADEMA ikigeuka na kuikacha no reforms no election hakuna atakayeichukulia serioua tena

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
17,047
Reaction score
63,206
Ni dhahiri ndani ya CHADEMA kuna watu wamechukizwa na uamuzi wa chama wa NO REFORMS, NO ELECTION. Hao ni watu wanaotaka ubunge kwa udi na uvumba. Wanaona kuwa wanayo nafasi ya kushinda uchaguzi. Nitaeleza.

1. Kuna watu wamewekeza pesa, kujipanga.

Kuna watu wameshapitapita kwa wadau na wananchi kujaribu kuweka mambo sawa. Hawa wameshagharamika, na wanaona kuwa chama kutoshiriki uchaguzi ni "kuwawekea usiku". Hawa kimsingi wanawaza maslahi yao binafsi zaidi kuliko chama achilia mbali mustakbali mpana wa Taifa.

2. Kudanganyika kwa Nyomi mikutanoni.

Ni dhahiri Mikutano ya CHADEMA ya huu uongozi mpya imekuwa ikipata nyomi kubwa, lakini naamini viongozi wa CHADEMA watakuwa na busara za kutosha na kuwa nabuzoefu wa kutosha kuwa si mara ya kwanza CHADEMA kuwa na nyomi, imekuwa hivyo kwa muda mrefu tu. Lakini Nyomi haitranslate katika ushindi katika uchaguzi, maana kinachodetermine ushindi katia chaguzi zetu ni maamuzi tu ya wenye nguvu za kidola. Kwa hiyo viongozi wa CHADEMA wasijekudanganyika kuiacha No Reforms no Election kwa dhana kuwa tuna umma nyuma yetu na hivyo tutashinda!. Wakiingia ktk uchaguzi kwa mahesabu ya nyomi watapigwa na CCM kipigo cha mbwa mwizi!.

3. Lazima mfumo utataka kuwagawa CHADEMA kwa kununua wachache

Kama mfumo ulitumia msuli wa hela kununua wale wabunge 19, Tena wabunge wenyewe walikuwa akina mama wenye nyadhifa nzito ndani ya CHADEMA, kitu gani unadhani mfumo utashindwa kufanya kupenyeza rupia kwa wajumbe wa kutosha wa vikao vya maamuzi vya chama, au kwa watu wachache ili waanzishe chokochoko za kuzunguuka huku na kule kuwatangazia wananchi kuwa wanagombea, au kushutumu operesheni ya chama ya no reforms no election?.

NINACHOWASHAURI CHADEMA.
1. Uongozi ukiyumba kwenye hii operesheni ya No Reforms No Election baada ya elimu kuwa imeshasambaa kwa wananchi, basi wananchi siyo tu kwamba wautadharau uongozi mpya wa CHADEMA, bali wataacha kukichukulia serious hicho chama. Kwa hiyo viongozi wasiyumbe hata kidogo.

2. Mikutano yao isihusu habari za uchaguzi tu, Ujumbe wa mikutano yao ihusu pia katiba mpya. Nimesikiliza mikutano ya viongozi wa Chadema, wanazubgumza kwa kina suala la mfumo wa uchaguzi, na mapubgufu yake, lakini hawalink mapungufu hayo na madai ya katiba mpya. Hii dhana ya kudhani kuwa wananchi wataelewa wenyewe kuhusu uhusiano wa katiba mpya na reforms, hii haiko sahihi. Wananchi wanataka wasikie ni namna gani No Reforms no Election itachampion issue ya katiba mpya. Katiba ya sasa ina mapungufu mengi si katika mfumo wa uchaguzi tu, bali ktk mambo mengi yanayogusa maisha ya wananchi.
 
Mwelekeo wa kundi hili ndio ule wa "maridhiano" uliokuwepo kati ya Mbowe na Samia.
Kundi hili kama halitadhibitiwa litaleta vurugu kubwa sana ndani ya CHADEMA wakichochewa na wafadhili wao toka CCM na vyombo vyote vya dola vinavyotumiwa na CCM.
Kundi hilo halina tofauti na wale walioko ndani ya CCM wanaosaka fursa kujinufaisha; badala ya kutafuta njia za kuleta mabadiliko ya hali iliyopo sasa.
Sasa kama CHADEMA na wao watakuwa na matamanio hayo hayo, kuna sababu zipi tena za kuwepo na wabunge wa upinzani huko Bungeni? Wabunge wanao kwenda kupambania maslahi binafsi!
 
Umenena jambo muhimu sana. Hapa inabidi uongozi w CHADEMA hasa katibu mkuu asimame kidete.

Najua team "Maridhiano" inatafuta soft spot kwa Lissu, ila Mnyika wanamheshimu. Kwa hiyo katibu mkuu Mnyika awe "mkata umeme", amsaidie Mwenyekiti wake asiingie ktk malumbano na kundi hilo!
 
2. Mikutano yao isihusu habari za uchaguzi tu, Ujumbe wa mikutano yao ihusu pia katiba mpya. Nimesikiliza mikutano ya viongozi wa Chadema, wanazubgumza kwa kina suala la mfumo wa uchaguzi, na mapubgufu yake, lakini hawalink mapungufu hayo na madai ya katiba mpya. Hii dhana ya kudhani kuwa wananchi wataelewa wenyewe kuhusu uhusiano wa katiba mpya na reforms, hii haiko sahihi. Wananchi wanataka wasikie ni namna gani No Reforms no Election itachampion issue ya katiba mpya. Katiba ya sasa ina mapungufu mengi si katika mfumo wa uchaguzi tu, bali ktk mambo mengi yanayogusa maisha ya wananch
Kipa umbele katika muda huu mfupi uliopo kati ya sasa na Oktoba, ni kwa wananchi kupata elimu sahihi ya haki zao za kuchagua viongozi wanao wataka wao katika mazingira yaliyo wazi, Huru na ya Haki kwa kila mmoja wao. Hii ni ajenda muhimu, na kwa kweli ni kama ya dharura, kwa sababu ya ufinyu wa muda uliopo.
Kutumia muda mwingi kuzungumzia kwa kina maswala mengine ya muhimu kabisa kama ya Katiba Mpya, kunaweza kwa sasa kuwa-overload na taarifa wananchi na kuwachanganya na kupoteza lengo kuu hilo hapo juu.

Kutakuwepo na muda wa ku-'expound' kuhusu hayo ya Katiba Mpya katika muda mwafaka; sasa hivi vipengele muhimu ni elimu kwa wananchi juu ya Haki zao za kuwapata viongozi wao, na zaidi ya yote, wananchi hao hao ndio watakaokuwa na uamzi wa pawepo na Uchaguzi/uchafuzi hapo Oktoba au la. CHADEMA kama chama hakina uwezo wa kufanya hivyo bila ya ushirikiano wa wananchi.
Kwa hiyo, kwa sasa hivi, waache CHEDEMA wafanye kazi hii muhimu kwanza.
 
Ni dhahiri ndani ya CHADEMA kuna watu wamechukizwa na uamuzi wa chama wa NO REFORMS, NO ELECTION. Hao ni watu wanaotaka ubunge kwa udi na uvumba. Wanaona kuwa wanayo nafasi ya kushinda uchaguzi. Nitaeleza.

1. Kuna watu wamewekeza pesa, kujipanga.

Kuna watu wameshapitapita kwa wadau na wananchi kujaribu kuweka mambo sawa. Hawa wameshagharamika, na wanaona kuwa chama kutoshiriki uchaguzi ni "kuwawekea usiku". Hawa kimsingi wanawaza maslahi yao binafsi zaidi kuliko chama achilia mbali mustakbali mpana wa Taifa.

2. Kudanganyika kwa Nyomi mikutanoni.

Ni dhahiri Mikutano ya CHADEMA ya huu uongozi mpya imekuwa ikipata nyomi kubwa, lakini naamini viongozi wa CHADEMA watakuwa na busara za kutosha na kuwa nabuzoefu wa kutosha kuwa si mara ya kwanza CHADEMA kuwa na nyomi, imekuwa hivyo kwa muda mrefu tu. Lakini Nyomi haitranslate katika ushindi katika uchaguzi, maana kinachodetermine ushindi katia chaguzi zetu ni maamuzi tu ya wenye nguvu za kidola. Kwa hiyo viongozi wa CHADEMA wasijekudanganyika kuiacha No Reforms no Election kwa dhana kuwa tuna umma nyuma yetu na hivyo tutashinda!. Wakiingia ktk uchaguzi kwa mahesabu ya nyomi watapigwa na CCM kipigo cha mbwa mwizi!.

3. Lazima mfumo utataka kuwagawa CHADEMA kwa kununua wachache

Kama mfumo ulitumia msuli wa hela kununua wale wabunge 19, Tena wabunge wenyewe walikuwa akina mama wenye nyadhifa nzito ndani ya CHADEMA, kitu gani unadhani mfumo utashindwa kufanya kupenyeza rupia kwa wajumbe wa kutosha wa vikao vya maamuzi vya chama, au kwa watu wachache ili waanzishe chokochoko za kuzunguuka huku na kule kuwatangazia wananchi kuwa wanagombea, au kushutumu operesheni ya chama ya no reforms no election?.

NINACHOWASHAURI CHADEMA.
1. Uongozi ukiyumba kwenye hii operesheni ya No Reforms No Election baada ya elimu kuwa imeshasambaa kwa wananchi, basi wananchi siyo tu kwamba wautadharau uongozi mpya wa CHADEMA, bali wataacha kukichukulia serious hicho chama. Kwa hiyo viongozi wasiyumbe hata kidogo.

2. Mikutano yao isihusu habari za uchaguzi tu, Ujumbe wa mikutano yao ihusu pia katiba mpya. Nimesikiliza mikutano ya viongozi wa Chadema, wanazubgumza kwa kina suala la mfumo wa uchaguzi, na mapubgufu yake, lakini hawalink mapungufu hayo na madai ya katiba mpya. Hii dhana ya kudhani kuwa wananchi wataelewa wenyewe kuhusu uhusiano wa katiba mpya na reforms, hii haiko sahihi. Wananchi wanataka wasikie ni namna gani No Reforms no Election itachampion issue ya katiba mpya. Katiba ya sasa ina mapungufu mengi si katika mfumo wa uchaguzi tu, bali ktk mambo mengi yanayogusa maisha ya wananchi.

NO REFORM NO ELECTION ni mpango wa kulikomboa Taifa kwa njia za kidemokrasia. Hakuna mwenye dhamira ya kulikomboa Taifa anayeweza kukubali kwenda kuhangaika kuutafuta ubunge kwa mazingira ya sasa ambayo anaweza kuuawa na CCM wakati wa kampeni, wapambe wake wanaweza kuuawa; na pia Tume ya CCM inaweza kutangaza idadi yoyote ya kura bila ya kujali ulipigiwa kura ngapi na wananchi.

Kuukubali uchaguzi kwa mazingira ya sasa, labda kichwani uwe umepungukiwa.
 
Nakazia hapa👿
 
Mleta mada uko sahihi kabisa. Hakuna mabadiliko ya kweli, hakuna kushiriki uchaguzi unaopangwa matokeo nje ya box la kura. Hakuna kitu kibaya kama kukosa msimamo.

Wanacdm wanaotaka kushiriki uchaguzi kwa mazingira haya ni team Mbowe, hawa walikuwa wanarubunika kirahisi na rushwa ama hadaa za ccm. Ni bora chama kisiwe na mbunge au diwani hata mmoja, kuliko kushiriki kwenye chaguzi za kuuliwa, kuachwa na vilema vya maisha, na kupewa majimbo kwa hisani ya ccm. No reform no election fullstop.
 
Ni dhahiri ndani ya CHADEMA kuna watu wamechukizwa na uamuzi wa chama wa NO REFORMS, NO ELECTION. Hao ni watu wanaotaka ubunge kwa udi na uvumba. Wanaona kuwa wanayo nafasi ya kushinda uchaguzi. Nitaeleza.

1. Kuna watu wamewekeza pesa, kujipanga.

Kuna watu wameshapitapita kwa wadau na wananchi kujaribu kuweka mambo sawa. Hawa wameshagharamika, na wanaona kuwa chama kutoshiriki uchaguzi ni "kuwawekea usiku". Hawa kimsingi wanawaza maslahi yao binafsi zaidi kuliko chama achilia mbali mustakbali mpana wa Taifa.

2. Kudanganyika kwa Nyomi mikutanoni.

Ni dhahiri Mikutano ya CHADEMA ya huu uongozi mpya imekuwa ikipata nyomi kubwa, lakini naamini viongozi wa CHADEMA watakuwa na busara za kutosha na kuwa nabuzoefu wa kutosha kuwa si mara ya kwanza CHADEMA kuwa na nyomi, imekuwa hivyo kwa muda mrefu tu. Lakini Nyomi haitranslate katika ushindi katika uchaguzi, maana kinachodetermine ushindi katia chaguzi zetu ni maamuzi tu ya wenye nguvu za kidola. Kwa hiyo viongozi wa CHADEMA wasijekudanganyika kuiacha No Reforms no Election kwa dhana kuwa tuna umma nyuma yetu na hivyo tutashinda!. Wakiingia ktk uchaguzi kwa mahesabu ya nyomi watapigwa na CCM kipigo cha mbwa mwizi!.

3. Lazima mfumo utataka kuwagawa CHADEMA kwa kununua wachache

Kama mfumo ulitumia msuli wa hela kununua wale wabunge 19, Tena wabunge wenyewe walikuwa akina mama wenye nyadhifa nzito ndani ya CHADEMA, kitu gani unadhani mfumo utashindwa kufanya kupenyeza rupia kwa wajumbe wa kutosha wa vikao vya maamuzi vya chama, au kwa watu wachache ili waanzishe chokochoko za kuzunguuka huku na kule kuwatangazia wananchi kuwa wanagombea, au kushutumu operesheni ya chama ya no reforms no election?.

NINACHOWASHAURI CHADEMA.
1. Uongozi ukiyumba kwenye hii operesheni ya No Reforms No Election baada ya elimu kuwa imeshasambaa kwa wananchi, basi wananchi siyo tu kwamba wautadharau uongozi mpya wa CHADEMA, bali wataacha kukichukulia serious hicho chama. Kwa hiyo viongozi wasiyumbe hata kidogo.

2. Mikutano yao isihusu habari za uchaguzi tu, Ujumbe wa mikutano yao ihusu pia katiba mpya. Nimesikiliza mikutano ya viongozi wa Chadema, wanazubgumza kwa kina suala la mfumo wa uchaguzi, na mapubgufu yake, lakini hawalink mapungufu hayo na madai ya katiba mpya. Hii dhana ya kudhani kuwa wananchi wataelewa wenyewe kuhusu uhusiano wa katiba mpya na reforms, hii haiko sahihi. Wananchi wanataka wasikie ni namna gani No Reforms no Election itachampion issue ya katiba mpya. Katiba ya sasa ina mapungufu mengi si katika mfumo wa uchaguzi tu, bali ktk mambo mengi yanayogusa maisha ya wananchi.
Waende wakagombee kupita vyama vingine kwani chama ni Chadema pekee,yaani watu wafe ili wewe huwe mbunge au diwani.#No reforms no election.
 
Mleta mada uko sahihi kabisa. Hakuna mabadiliko ya kweli, hakuna kushiriki uchaguzi unaopangwa matokeo nje ya box la kura. Hakuna kitu kibaya kama kukosa msimamo.

Wanacdm wanaotaka kushiriki uchaguzi kwa mazingira haya ni team Mbowe, hawa walikuwa wanarubunika kirahisi na rushwa ama hadaa za ccm. Ni bora chama kisiwe na mbunge au diwani hata mmoja, kuliko kushiriki kwenye chaguzi za kuuliwa, kuachwa na vilema vya maisha, na kupewa majimbo kwa hisani ya ccm. No reform no election fullstop.
Ni heri tuendelee kuchangia chama kwa njia ya tone tone kuliko kushiriki kwenye uchaguzi ambao umesheheni hatari luluki za kuuliwa kwa wagombea na wafuasi wa chadema na kutoheshimiwa kwa matokeo kwenye sanduku la kura.Ili mpinzani atangazwe lazima watu wapigwe risasi watu wafungwe au kuwe na uharibifu wa mali za Masisiyemu yote motoni
 
IMG_20250610_204958.jpg
 
CDM shikirieni hapo hapo, sarakasi za Mahakamani zikiisha, mikutano ya NO REFORMS ianza...
Mnachofanya ni
1.N tendo TAKATIFU na naamini lina baraka za Mungu
2.Ni takwa la UMMA
3.Ni takwa la Viongozi wa Kidini
4.Ni takwa la NGOs na Mashirika yote ya kijamii
5.Ni takwa la Donors
6.Ni takwa la wapenda maendeleo wote
7.Ni takwa la Vyama vya Kitaaluma
 
Back
Top Bottom