LGE2024 CHADEMA ikikomaa itashinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

LGE2024 CHADEMA ikikomaa itashinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Screenshot_2024-10-08-18-27-40-1.png
 
Majina ya Wagombea yatakavyoenguliwa hutaamini.
Jiandae kushuhudia Polisi,Majeshi watakavyomwagwa mitaani!
Kwa kifupi uchaguzi umeshapangwa kukipendelea Chama cha CCM! CCM haina option!
 
Hata kwa Usimamizi huu huu mbovu (Japo siufagilii), Chadema inaweza kuibuka na ushindi wa kishindo ikiwa Wananchi wataamua kukataa dhuluma.

Wakati wa Kikwete ambaye alikuwa Rais, Amiri Jeshi na Mwenyekiti wa CCM kama hawa waliopo leo.

Chadema ilishinda kwa kishindo kwenye maeneo mengi, likiwemo Jimbo la Chato ambalo mbunge wake alitokea CCM na alijulikana kwa jina moja la Magufuli, ambako kwenye Uchaguzi wa 2014 Chadema ilizoa viti vyote vya uenyekiti kikiwemo kijiji alichoishi Magufuli Mwenyewe.

Tukirudi nyuma zaidi ya hapo Augustino Mrema alimshinda Checkbob Sisco Mtiro wa CCM kwenye Jimbo la Temeke na kuwa Mbunge, zamani vituo vya kupigia kura vilikuwemo hadi kwenye kambi za Jeshi, Polisi Ufundi na Twalipo, Kwenye vituo hivi ambavyo wapiga kura wengi walikuwa ni Askari Mrema alishinda kwa kishindo.

Hivyo basi ikiwa Chadema ikasimama na Wananchi na ukizingatia dhiki na ugumu wa Maisha uliosababishwa na ccm, itashinda kila mahali.
Kabisa, kwani nisawa na Waarabu (CCM) vs Waisrael (CHADEMA).
 
Wakuu CHADEMA ni tishio mnoo huku kitaa hasa jimbo la Kinondoni, leo Mtendaji alitaka kuniletea mapicha picha, wacha nimchane makavu, na mimba lake. Halafu uzuri kwamba CHADEMA tuko vizuri kwenye mambo ya Digital kakataa kupokea majina ya Mawakala wa kusimamia uchaguzi nikamwambia kwanini eti ooh sina taarifa hata CCM hawajaleta. Nikamwambia kwanza ratiba inasemaje? Acha kuwa Mbambaifu au kwa sababu unakaa humu ofisini na Wajumbe CCM, Mara walete na Wasimamizi niwaone nikamwambia wewe kazi yako ni kupokea barua hao Wasimamizi wanini? Acha kuleta figusu Afisa. Akakataa mikarusha kwa whatsapp kata nikajibiwa kesho mapema Wasimamizi wakale viapo asubuhi. Mtendaji anajifanya kanikomoa eti .🤣🤣🤣
 
Tatizo tunajifanya kujua kila kitu ...ili ni moja ya sababu tunashindwa kushinda chaguzi
 
Sawa kamanda ila jamaa zetu bado waendelea kutuongoza aisee
Kamanda wewe nae ni Kunguru wanatuongoza au waliiharibu chaguzi zote mwaka 2019 na uchaguzi mkuu 2020? Hawana jambo halafu waoga mnoo wanategemea mapolisi. Hapa kitaa hata salam yangu haiwaitikii na Mimi nasema tutakutana kwenye kampeni nitawapiga spana aisee 🤣🤣🤣
Halafu huwa wanatuanzishiaga sana vurugu.
 
Ni Bora CHADEMA isusie uharamia huu kuliko kushiriki Kisha kulalamikia hujuma.
 
Majina ya Wagombea yatakavyoenguliwa hutaamini.
Jiandae kushuhudia Polisi,Majeshi watakavyomwagwa mitaani!
Kwa kifupi uchaguzi umeshapangwa kukipendelea Chama cha CCM! CCM haina option!
Patachimbika!
 
Back
Top Bottom