LGE2024 CHADEMA ikikomaa itashinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
CHADEMA mnajidanganya sana. Kifupi ni kwamba JPM alififisha ushiriki wa wananchi kwenye siasa na hatma ya nchi yao.
Ukazaliwa uchawa. Machawa wengi ni waganga njaa. Wanatumika kuwarubuni wananchi.
Kifupi wananchi wanataka chao kwanza. Ukiwa nacho wana kupa "kula".
Kwa utaratibu anaoendelea nao Bi Chura Usitegemee ushindi kama ule wa kina Zitto, Mnyika, Msigwa, Silinde, Lema, Nassary, n.k ambao ulikuwa unatokana na matakwa safi ya wananchi.
Kifupi ni kwamba uwanda wa kisiasa umebadilika sana. Kama mnataka ushindi anzeni chini mashinani. Machawa wakifika wakute watu wa chini washajitambua!
 
Kwasasa nyinyiem wanategemea mapingamizi Ili wawe through nut
 
Ya upo sawa Mungu alisha nionesha kabla ,no ccm 2025 sasa wanaweza lazimisha lakini ikitokea ,wataputika kama mchnga ,sio maneno yangu Bwana amenionesha face by face , wajifanyao wana mtandao wakesha bure ,au teka bure kama sio kuua bure wana wa Mungu tu , hakuna namna nyingine tena asema Bwana .

Kuna jambo Mungu ameniambia nikisema ccm njaa hawawezi Helewa na Chadema haiwezi kubaliana nami ,japo chama nakipenda sana ,ila hapa Taifa kwanza , machawa yamejaa kila kona .

Ndugu Rais nipo na ujumbe mkuu kwako , ila hapa jf sio sehem sahii wasilisha kwako ukitaka tuonane face by face na hutaki basi , na ukiamua nikuone bado pia nipo na masharti yangu, jambo ambalo kwa mkuu wa nchi kama wewe ni Ngum ,ukizingatia mie fukara wa kutupa , acha ibaki ilivyo maana wote mwisho wetu udongo tu.
 
Nilivyoona muitikio wa maandamano chadema inakwenda kupigwa na kitu kizito 2020 ili ni cha mtoto.
Kwhioooooo tumeibiwa wenzenu wanajitayarisha nyie mpo X!
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Chadema hawawezi kushinda uchaguzi wa mitaa maana hawana uwezo, mbinu wala nia ya kushinda uchaguzi huo. Wao macho yao ni ubunge kutokana na ubinafsi waliyo nayo viongozi wa chadema. Ubunge ndio wanaona mali maana marupurupu yake ni makubwa. Mbinu yao ni kuacha ccm watoe jasho kufanye kampeni wakati wao wanatayashisha sababu za uongo na bandia kuja kuonyesha eti ccm imeiba kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…