CHADEMA ikipewa nchi inaweza kuiendesha kweli ?

Wakipunguza jazba, uchu, hasira, visasi na chuki wataweza tofauti na hapo watatudumbukiza shimoni wewe angalieni mikutano yao walivyo na jaziba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…