Elections 2015 CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!

Kifupi ndani ya chadema kuna udicteta mwingi ukitaka kujua rejea kufukuzwa kwa zitto kitila na wengineo hakuna demokrasia ila chama kinaendeshwa kwa mihemko ya viongozi
P
 
Kama Lissu atagombea urais 2025, Chadema inayo fursa ya kushinda ila pia tujiandae kutawaliwa kidikiteta! Maana Lissu ni kama Magufuli, Lissu ni Magufuli mwingine ajaye
P
 
Unazungumziaje harakati za Lissu????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…