CHADEMA ikitwaa Madaraka 2025, nitapendekeza Byakanwa avuliwe Ubalozi, hana sifa hiyo

Byakanwa ni MWOVU MKUBWA KAMA MAGUFULI
Yaani kwa walinda legacy hivyo ndo wanavyopenda. Kila aliyeshirikiana na Magufuli kwenye uovu ukimtema wanatoa povu, akiteuliwa wanaona legacy inatendewa haki
 
CHADEMA ipi unayoizungumzia? Hii hii ya Mbowe?

CHADEMA mpaka ipate sifa za kuchukua nchi itakuwa ni kizazi cha pili kutoka hiki, kwahiyo mimi, wewe na Bakanwa tutakuwa tulishakufa zamani sanaa
 
hahaaa kufa mwehu wewe
 
Hii inatufanya tutilie shaka maridhiano, huenda Samia anafanya maigizo tu
 
Katiba mpya inahitajika ili watu kama hawa wahojiwe na chombo kama Bunge huru la kidemokrasia kuhusu matendo yao kabla ya kuthibitishwa kwenda kuwakilisha nchi yetu.

Au ubalozi wake uishie wizarani Dodoma au ofisi ndogo ya wizara ya mambo ya Nje Dar es Salaam .
 
Hakika

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app

Kenya na nchi zingine kadhaa hufanya usaili na kuwahoji wateuliwa kabla ya kuthibitishwa
Citizen Digital
https://citizen.digital › news › parlia...
Parliamentary committee begins vetting Uhuru's ambassador ...

16 May 2022 — Parliamentary committee begins vetting Uhuru's ambassador nominees · 1. Mr. · 2. Maj Gen Andrew Ikenye – High .....

https://www.thefreelibrary.com › H...
House committees to begin vetting of PSs, ambassadors.

: House committees to begin vetting of PSs, ambassadors. by "The Star (Nairobi, Kenya)"; News, opinion and ....
 
Ni katika muendelezo wa kuwatawanya wafuasi wa Jiwe. Ni kwa nia njema ya kuliponya Taifa kuelekea maridhiano ya kisiasa.
 
Mungu Ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Chadema ipo kwenye maridhiano.

Sasa unakataaje waliokosea mwanzo kuteuliwa sasa hivi au hayo maridhiano maana yake nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…