mtoto wa mchungaji
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 279
- 480
Hapo mwanzo ilikuwa ukisema CHADEMA itakufa kifo cha mende walikuwa wanabisha lakini leo watu wanamaliza tanga ndugu kwa kuandaa maandamano ya kumsindikiza marehemu ambaye alianza na Mungu na kumaliza na kifo cha aibu. Ukosefu wa mikakati bora ndiyo uliokigharimu chama chetu kufutika katika medani za kisiasa hapa nchini.
Utaweza kuona kuwa CHADEMA ilitumia mbinu zile zile walizokuwa wakizitumia wakati wa JK wakahama nazo na kuzitumia kipindi cha Magu wakati hawa watu hawafanani hata kidogo, ndiyo maana JK aliwataadhalisha CHADEMA mapema kuwa sasa wanawaletea CHUMA lakini hawakumwelewa kumbe Kikwte alikuwa na maana chuma kina gonga, kinapasua, kinavunja, kinasaga na kukupoteze kabisa.
Leo Mbowe, Msigwa, Lissu, Sugu Mdee na wengine wanarudi mchagani kuja kuonja joto ya jiwe nao wajifunze maisha ya mchagani maana huku ndiyo kama chuo vile. Leo Mbowe na wenzake wote ni wananchi wa kawaida kabisa kama wengine wanalindwa na ibara ya 18 tu ya katiba hivyo watakuwa wanasemea huku huku mchangani tukiwa nao, ambapo macho na masikio ya polisi yatakuwa kwao masaa 24 kusikia wanasema nini nje ya bunge.
Hata hivyo Mchungaji Msigwa ambaye alikashfu kanisa pamoja na watumishi walio ndani ya kanisa hatujui kama atarudi na kupokelewa tena kuendelea kukusanya sadaka kama zamani, kwani alisema kanisa ni kitu kibaya na kimetuumiza waafrika na bado kinaendelea kuwaumiza waafrika.
Mbowe ambaye kwao Hai alikuwa haonekani kabisa na kuwa kaacha wananchi wake sasa atakuwa na wakati mgumu sana hasa wakati wa Krismasi kwani kule hawamtaki hata kumuona sura yake. Naye Mdee ambaye alikuwa anajiona kijana kila siku bungeni sasa ataanza kuona uzee ukimkabili na kuitaji kuolewa sasa hivyo waoaji mjitokeze kwani mrembo yupo mchangani tayari.
Sugu ambaye aliacha kutunga mashahili na kuwa msema hovyo bungeni sasa itakuwa vema aje kusema hizo mbovu huku mchangani ndiyo kilamtu ataamini kuwa kweli huyu jamaa ni sugu. Ester yeye ambaye alikuwa hajui kuwa kuna mamlaka ya juu zaidi kuliko aliyopo alikuwa anajidanganya akidhani Mbowe ndiyo na CHADEMA ndiyo ziko juu kwa kufuata mkumbo yaani makamanda au malofa yote sawa.
Hechea yeye hana shida sana kwani kwao anamashamba ya majani mabichi ataendelea na shughuli zake za kilimo kama zamani. Lema ambaye huko nyuma kabla ya kuwa mbunge alikuwa anatumia uzi wenye joto kali kujipatia kipato kwa sasa akae chonjo maana IGP aliwai kutoa taarika kuwa kuwa hiyo kazi kwa sasa ni ya kishamba, hata hivyo wengi wanamsubiri Lema mchangani kwa hamu kubwa wamuone.