johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Yule wa Same Mashariki amehamia lini CCM? Na wa Moshi mjini je?Itakumbukwa kuwa ngome ya Chadema ilikuwa ni Kilimanjaro na Arusha ambako walikuwa na wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 12.
Lakini hadi leo Kilimanjaro inabakiwa na Mbowe pekee kwani waliosalia wanatimkia Nccr mageuzi ilhali Arusha atabakia Lema.
Hii maana yake ni kwamba Kaskazini siyo ngome ya Chadema tena.
Ni wapi Chadema asilia wataweka ngome yao? Mbeya au Mara?
Maendeleo hayana vyama!
Asante kwa taarifa.Itakumbukwa kuwa ngome ya Chadema ilikuwa ni Kilimanjaro na Arusha ambako walikuwa na wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 12.
Lakini hadi leo Kilimanjaro inabakiwa na Mbowe pekee kwani waliosalia wanatimkia Nccr mageuzi ilhali Arusha atabakia Lema.
Hii maana yake ni kwamba Kaskazini siyo ngome ya Chadema tena.
Ni wapi Chadema asilia wataweka ngome yao? Mbeya au Mara?
Maendeleo hayana vyama!
It's very sad!, na Mhe. Mbowe mwenyewe, kwa uchaguzi wa mwaka huu hapo October, ...Itakumbukwa kuwa ngome ya Chadema ilikuwa ni Kilimanjaro na Arusha ambako walikuwa na wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 12.
Lakini hadi leo Kilimanjaro inabakiwa na Mbowe pekee kwani waliosalia wanatimkia Nccr mageuzi ilhali Arusha atabakia Lema.
Hii maana yake ni kwamba Kaskazini siyo ngome ya Chadema tena.
Ni wapi Chadema asilia wataweka ngome yao? Mbeya au Mara?
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu unaishi Tanzania ipi?Yule wa Same Mashariki amehamia lini CCM? Na wa Moshi mjini je?
Nani kakudanganya mioyo ya watu iko CHADEMA? wanavyotukana na kushabikiwa mitandaoni ambamo kumejaa watu wasio na kazi baada ya wenye vyeti feki kufukuzwa ndo mnajidanganya CHADEMA wana watu? tulionya juu ya matusi na dhihaka dhidi ya mkuu wa nchi ambaye wananchi tunaona uzalendo na uchapa kazi wake hamkutuelewa, mtashangaa sana mwezi wa tisa.Tatizo sio chama bali tatizo ni wapi moyo wa watu ulipo? Hiyo tuuuu. Ngome yaweza kuwa popote na watu wakaifuata. Nilidhani ungesema kuwa ccm imeingia tena Kilimanjaro
Endeleeni kujidanganya tu,hao mliowanunua bado mna mahesabu kwamba mmeshinda? Subirini tena GE Oct 2020 ndio uje na hzo ngonjera.Itakumbukwa kuwa ngome ya Chadema ilikuwa ni Kilimanjaro na Arusha ambako walikuwa na wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 12.
Lakini hadi leo Kilimanjaro inabakiwa na Mbowe pekee kwani waliosalia wanatimkia Nccr mageuzi ilhali Arusha atabakia Lema.
Hii maana yake ni kwamba Kaskazini siyo ngome ya Chadema tena.
Ni wapi Chadema asilia wataweka ngome yao? Mbeya au Mara?
Maendeleo hayana vyama!
Yule Zitto ni sawa na bunge zima!Mona act ya wazalendo ina mbunge mmoja tu na anatosha kabisa kwa wabunge wa ccm wote!?
Petro unamkumbuka?Yesu alisalitiwa na wangapi? kati ya wasaliti na Yesu nani alie shinda? Kwenye msafara wa namba kenge lazima ajulikane ili safari ifike salama.
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Mbowe alidhibitiwa na Lowassa na sasa hana madhara tena!Hivi inamaana ccm hawajawahi kumshawishi mbowe wamnunue au atakua aliwachomolea?
It's very sad!, na Mhe. Mbowe mwenyewe, kwa uchaguzi wa mwaka huu hapo October, ...
Naomba nisimalizie, sitaki ugomvi na watu wa Chadema humu!.
P