Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,096
Wapinzani wakati mwingine sio wakupatia madaraka tuu ..sasa watu wamepewa madaraka ndio wa kwanza kuyakana na kukimbia kimbia kama paka za mtaani.
Kujenga hoja kama za kipindi kile bungeni na kwingineko wameshindwa ,kazi kulia lia mitandaoni
Wachumia tumbo tuu wote
It is never too late to begin. Start now
Kujenga hoja kama za kipindi kile bungeni na kwingineko wameshindwa ,kazi kulia lia mitandaoni
Wachumia tumbo tuu wote
It is never too late to begin. Start now