Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,096
CCM itashinda majimbo yote kasoro moja na Dr Mrema atashinda Vunjo!Tatizo sio chama bali tatizo ni wapi moyo wa watu ulipo? Hiyo tuuuu. Ngome yaweza kuwa popote na watu wakaifuata. Nilidhani ungesema kuwa ccm imeingia tena Kilimanjaro
Sema mh Mbowe ana mahesabu makali amelinganisha pesa anayopiga kwa wabunge wa cdm na zile za ruzuku na atazopewa kama ghalama ya uhamisho kabaini akihama ni hasara kubwa bora aendelee kula za wabunge na ruzuku.Asante kwa taarifa.
Mhe. Freeman Mbowe amethibitisha kuwa Mbunge imara ambaye amekataa kuwasaliti wapiga kura waliompeleka Mjengoni Dodoma.
Hongera sana Freeman Mbowe
Endelea kuamini hivyo hivyo kwamba wananuliwa!.Jidanganyeni tuEndeleeni kujidanganya tu,hao mliowanunua bado mna mahesabu kwamba mmeshinda? Subirini tena GE Oct 2020 ndio uje na hzo ngonjera.
Itakumbukwa kuwa ngome ya Chadema ilikuwa ni Kilimanjaro na Arusha ambako walikuwa na wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 12.
Lakini hadi leo Kilimanjaro inabakiwa na Mbowe pekee kwani waliosalia wanatimkia Nccr mageuzi ilhali Arusha atabakia Lema.
Hii maana yake ni kwamba Kaskazini siyo ngome ya Chadema tena.
Ni wapi Chadema asilia wataweka ngome yao? Mbeya au Mara?
Maendeleo hayana vyama!
Nani kakudanganya mioyo ya watu iko CHADEMA? wanavyotukana na kushabikiwa mitandaoni ambamo kumejaa watu wasio na kazi baada ya wenye vyeti feki kufukuzwa ndo mnajidanganya CHADEMA wana watu? tulionya juu ya matusi na dhihaka dhidi ya mkuu wa nchi ambaye wananchi tunaona uzalendo na uchapa kazi wake hamkutuelewa, mtashangaa sana mwezi wa tisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nikisubiri comment yako mkuu, na hatimaye umetoa maoni/mawazo yako.It's very sad!, na Mhe. Mbowe mwenyewe, kwa uchaguzi wa mwaka huu hapo October, ...
Naomba nisimalizie, sitaki ugomvi na watu wa Chadema humu!.
P
Sawa na vipi mtu utashindana na aliyeshika mpini ili hali wewe umeshika makali?Nimesha sema Jimbo la Moshi mjini sasa nila CCM wananchi wa MOSHI wameshachoshwa na chadema
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Si hivyo tu Mh. Mbowe kama ninavyojua amekuwa mwana Chadema toka inaasisiwa na ni moja katika wale wachache ambao hawakusita kuunga mkono mageuzi wakati wa kudai mfumo wa vyama vingi. Nyakati hizo ni wachache ambao walikuwa na ujasiri wa kukipa mgongo Chama tawala, CCM, na Mbowe alikuwa moja wao.Asante kwa taarifa. Mhe. Freeman Mbowe amethibitisha kuwa Mbunge imara ambaye amekataa kuwasaliti wapiga kura waliompeleka Mjengoni Dodoma. Hongera sana Freeman Mbowe
Bunge si linaisha mwezi ujao? Kwa hiyo hatutakuwa na wabunge mpaka mwezi november 2020Itakumbukwa kuwa ngome ya Chadema ilikuwa ni Kilimanjaro na Arusha ambako walikuwa na wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 12.
Lakini hadi leo Kilimanjaro inabakiwa na Mbowe pekee kwani waliosalia wanatimkia Nccr mageuzi ilhali Arusha atabakia Lema.
Hii maana yake ni kwamba Kaskazini siyo ngome ya Chadema tena.
Ni wapi Chadema asilia wataweka ngome yao? Mbeya au Mara?
Maendeleo hayana vyama!