CHADEMA ilimalizwa na Magufuli, sasa tujielekeze kuidhoofisha ACT Wazalendo

Mimi niko ccm makao makao makuu. Nikwambie tuu huwezi kupata teuzi zetu kwa namna hii, hasa kipindi cha utawala huu. Jikite kujenga chama chako.

Ccm bila kanjanja hatutoboi ata kiwekwe kivuli na sie
 
Teuzi
Sikuwahi kulamba sori ya kiatu - tutembee na ukweli huo
 
Ni kawaida ya binadamu akiiambiwa ukweli wa kisiasa hupinga - iko wazi kwamba CDM mlifanya makosa sehemu nyingi
(i). Kuwa viongozi Mungu watu - kiongozi anakaa madarakani kwa miongo kadhaa as if chama hakina succession plan;

(ii). Baadhi wanaharakati kuunga mkono ndoa za jinsia moja; huu ni utamaduni wa ajabu sana;
Aliyekwambia ujifanye hivi ni Nani?
JamiiForums1999776609_240x320.jpg
 
CCM ya Rais SSH iko imara baada JPM kufanya kazi ngumu ya kuimaliza CDM - sasa tujielekeze kuidhofisha ACT Wazalendo

CDM watagombea nchini ubelgiji;
ACT ndio waangaliwe kwa jicho kubwa. Lkn pia CCM tuikatae katiba mpya na tume huru ya uchaguzi - tukikubali hata NCCR waweza kuzika chama.

Mwisho, tukubali mazungumzo ya mezani na glass za juice tugongeane ila ktk utekelezaji tuvute gia ya usingizi. Hii ni kwa sababu watanzania wengi wana ugonjwa wa kusahau mapema.

Mwaka mwema kwenu wote.
Mimi ni
Syringe bila dawa
Nani bado yupo kati ya chadema na magufuli??
 
Unachafua jina la askofu wangu hakuna mtu mwenye mawazo finyu kama wewe eti"ILIMALIZWA NA MAGUFURI" wakati amekufa kishamba na akaiacha CHADEMA inanawiri,jiulize Kwa nini Mbowe yuko ndani kama Chadema ilishakufa pumbavu? Na wale covid 19 Bungeni kule Pilato Ndugai wanaitwa wabunge kutoka chama gani pumbavu?
 
Ni kawaida ya binadamu akiiambiwa ukweli wa kisiasa hupinga - iko wazi kwamba CDM mlifanya makosa sehemu nyingi
(i). Kuwa viongozi Mungu watu - kiongozi anakaa madarakani kwa miongo kadhaa as if chama hakina succession plan;

(ii). Baadhi wanaharakati kuunga mkono ndoa za jinsia moja; huu ni utamaduni wa ajabu sana;
Kujifariji hakusaidii kumaliza 'hangover' ya ulevi holela wa ofa za kuvizia.
 
Baada ya lile jambaka, jitu katili kushindwa kuimaliza CDM likafa lenyewe na kuiacha chadema ikiwa tishio kubwa kwa mainzi na sirikali yao, wewe lipumba- vu endelea kujitoa ufahamu
 
Back
Top Bottom