CHADEMA ilimalizwa na Magufuli, sasa tujielekeze kuidhoofisha ACT Wazalendo

Mimi niko ccm makao makao makuu. Nikwambie tuu huwezi kupata teuzi zetu kwa namna hii, hasa kipindi cha utawala huu. Jikite kujenga chama chako.

Ccm bila kanjanja hatutoboi ata kiwekwe kivuli na sie
 
Mimi niko ccm makao makao makuu. Nikwambie tuu huwezi kupata teuzi zetu kwa namna hii, hasa kipindi cha utawala huu. Jikite kujenga chama chako.

Ccm bila kanjanja hatutoboi ata kiwekwe kivuli na sie
Teuzi
Sikuwahi kulamba sori ya kiatu - tutembee na ukweli huo
 
Aliyekwambia ujifanye hivi ni Nani?
 
Nani bado yupo kati ya chadema na magufuli??
 
Unachafua jina la askofu wangu hakuna mtu mwenye mawazo finyu kama wewe eti"ILIMALIZWA NA MAGUFURI" wakati amekufa kishamba na akaiacha CHADEMA inanawiri,jiulize Kwa nini Mbowe yuko ndani kama Chadema ilishakufa pumbavu? Na wale covid 19 Bungeni kule Pilato Ndugai wanaitwa wabunge kutoka chama gani pumbavu?
 
Kujifariji hakusaidii kumaliza 'hangover' ya ulevi holela wa ofa za kuvizia.
 
Baada ya lile jambaka, jitu katili kushindwa kuimaliza CDM likafa lenyewe na kuiacha chadema ikiwa tishio kubwa kwa mainzi na sirikali yao, wewe lipumba- vu endelea kujitoa ufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…