CHADEMA ilimalizwa na Magufuli, sasa tujielekeze kuidhoofisha ACT Wazalendo

Jitu katili lilimalizika kabla ya kuimaliza cdm
 

Ni hivi, CCM sio chama cha kizazi hiki, hata mdhikiri uchi hapo kwa Mkapa mchana wa saa sita, na hamtakaa mpate tena uungwaji mkono kama enzi za wazee wetu. Muendelee kuomba wananchi hasa vijana Kuendelea kuwa waoga dhidi ya vyombo vya dola, lakini siku zenu zinahesabika.
 
Mangula kakaa madarakani kwa muda gani?
Lipumba, mrema wamekaa madarakani kwa muda gani?
Unajua mahusiano yaliyopo kati ya shaka na mpelembwe???
 
Chadema ni TAASISI hakuna mwenye Ubavu wa KUIMALIZA Mwendazake kaenda zake CHADEMA IPO
 
Zinahesabika kwa sababu uongozi ni hesabu ya mitano mitano - ukizijumlisha zitafika 100
 
Zinahesabika kwa sababu uongozi ni hesabu ya mitano mitano - ukizijumlisha zitafika 100

Mia chache fanya karne 1 kabisa. Lakini vyombo vya dola tu ndio pumzi yenu iliyobaki ya muda mfupi.
 

Huu ni mzaha wa kumfunika Mwingira? Hii ikimfikia Hangaya utapigwa NONSENSE tu.
 
Baada ya lile jambaka, jitu katili kushindwa kuimaliza CDM likafa lenyewe na kuiacha chadema ikiwa tishio kubwa kwa mainzi na sirikali yao, wewe lipumba- vu endelea kujitoa ufahamu
Haikuimaliza kabisa Chadema, lakini Magufuli ameiacha Chadema ikiwa maiti inayo tembea.
 
Wote waliosema wataua upinzani jibu unalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…