CHADEMA ilipasuka katikati alipoondoka Dkt. Slaa na kuja Lowassa, hawa wanaoondoka sasa akiwemo Mbowe siyo maarufu kumzidi Slaa

CHADEMA ilipasuka katikati alipoondoka Dkt. Slaa na kuja Lowassa, hawa wanaoondoka sasa akiwemo Mbowe siyo maarufu kumzidi Slaa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Chadema imewahi kugawanyika mara moja tu pale walipomtosa Dr Slaa na kumleta mzee Lowasa

Unajua kwenye hizi siasa zetu za Tanganyika Mbowe hajawahi kufanya tukio lolote la kutikisa nchi kama vile Dr Slaa na Kagoda, Masoud wa Temeke na Panton, Lyatonga na Chavda, Zitto na Buzagwi, Kafulila na Escro nk

Kwahiyo hata Mbowe, Sugu, Wenje na Mungai wakiondoka leo kumfata mchungaji Msigwa CCM bado Chadema haitagawanyika

Filosofia ya Chadema ni kupambana na Ufisadi na hao wote wanaoondoka hawaamini katika itikadi hiyo ndio sababu walikuwa wanamsumbua sana Magufuli

Mlale unono. 😁
 
Bora umeliona hilo. Chadema kupasuka haijaanza leo. Ni.majeraha tu ya kawaidda itapona tena na.kurudi relini.

Imagine.vigogo hawa walishandoka.
1. David silinde
2 Zito kabwe- makamu mwenyekiti
3. Vicente mashinji- katibu mkuu
4. Joshua Nassari machachari
5. Mollie
6. Peter Msigwa
7. Julian shonza vijana Taifa.
8 Dr Slaa mgombea urais
9 Lowasa mgombe urais
10. Na wengine wengi tu kama akina sumaye. Mwita.waitara nk

Kuondoka kwa watu hao pekee chadema ingeshakufa zamani.ila sasa ndo inazidi.kupeta.

Nguvu kazi bado ipo Chadema itaoata majembe mapya
 
😂😂😂mbowe aondoke tu
Hata how vyo haitakuwa News maana ishajulikana.

Halafu akishaondoka rasmi najiunga na cdm,maana wachumia tumbo watakufa wamesepa
 
vigogo hapo ni Dr.Slaa,Lowasa na Sumaye,wengine ni wa kawaida sana
 
Back
Top Bottom