CHADEMA ilivyopoteza wabunge 17 Kuanzia 2015 hadi Mei 2020, wapo waliohamia CCM

CHADEMA ilivyopoteza wabunge 17 Kuanzia 2015 hadi Mei 2020, wapo waliohamia CCM

Kwa juhudi zote zinazofanyika kuipoteza CDM toka 2016 mpaka leo, Chadema bado kinaonesha ni chama imara sana.

Wakifanikiwa watakififisha miaka mitano ijayo, but later, kitaibuka tena kwa nguvu kubwa zaidi, coz no one can change people's mind.

Wacha waendelee kujidanganya tu kwa ushamba wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom