denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,486 Reaction score 68,288 May 19, 2020 #21 Kwa juhudi zote zinazofanyika kuipoteza CDM toka 2016 mpaka leo, Chadema bado kinaonesha ni chama imara sana. Wakifanikiwa watakififisha miaka mitano ijayo, but later, kitaibuka tena kwa nguvu kubwa zaidi, coz no one can change people's mind. Wacha waendelee kujidanganya tu kwa ushamba wao. Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa juhudi zote zinazofanyika kuipoteza CDM toka 2016 mpaka leo, Chadema bado kinaonesha ni chama imara sana. Wakifanikiwa watakififisha miaka mitano ijayo, but later, kitaibuka tena kwa nguvu kubwa zaidi, coz no one can change people's mind. Wacha waendelee kujidanganya tu kwa ushamba wao. Sent using Jamii Forums mobile app