Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kwamba kilitokea nini? Tangu CUF ianzishwe mpaka sasa imekuwa kikundi cha wanywa kahawa pale Buguruni, ni wakati gani nje ya UKAWA ilipata wabunge wengi Tanganyika?Chadema waliisaliti CUF Uchaguzi wa 2015 Segerea
Hatujasahau ππ
Wasiposhiriki Mwami ataonekana msaliti kwa "washikaji zake" wakiongozwa na Mzee wa Msoga.No reforms no election imewapanikisha.
Gentleman,Naona lawama Kila siku kuwa CHADEMA ikiungana na vyama vingine huwa inavisaliti.
Jee CHADEMA ilishawahi kukisaliti chama gani kingine Cha siasa na hicho chama kilisalitwa katika jambo gani?
Wewe ni CHAWA wa CCMChadema waliisaliti CUF Uchaguzi wa 2015 Segerea
Hatujasahau ππ
Chadema waliisaliti CCM, CCM wakamkata Lowassa chadema wakamchukua na kumweka mgombea wao wa urais.Naona lawama Kila siku kuwa CHADEMA ikiungana na vyama vingine huwa inavisaliti.
Jee CHADEMA ilishawahi kukisaliti chama gani kingine Cha siasa na hicho chama kilisalitwa katika jambo gani?